Monday, March 28, 2016

vituko facebook leo

Magufuli mbona unatuletea vituko huku mtaani, yaan wakuu wa wilaya wako busy na wapiga picha wao,,,yaan,,sasa huyu Kasesela na box hili,,,duh,,yaan,,,,ishakuwa shida.
hilo box sijui sasa anaenda nalo wap yahilahi toba????
LikeShow more reactions
Comment
Comments
Japheth Nyakahinga
Japheth Nyakahinga Dotto kamlize aliye beba sio rais
Failord Alfred
Failord Alfred Mwaka huu?
Elifuraha Chima
Elifuraha Chima anataka ukuu wa mkoa
Alfeo Yoram
Alfeo Yoram Anaogopa kusaulika kama yule Mkuu Wa mkoa Wa morogoro kwa uteuzi ujao
Rashidi Hamza
Write a comment...
Page Stories You May Like
Weekend Special leo katika mkesha wa pasaka..tutakiane sikukuu njema..na muziki mzuri hapa ABM..mchongo huu anauhold down Dj jeff..so usikae mbali Holla na wana twene pamoja mpaka tamati...HAPPY EASTER....
Nawatakia Pasaka Njema! 😘
Easter goodies for my customers..
You guys are awesome!
LikeShow more reactions
Comment
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: CHAD YAJITOA KATIKA MASHINDANO YA AFCON

Source...Soka360
Young Africans FB Fans's photo.
Little did they know it was their last game in this world!
Little did they know it was the last farewell and goodbye hugs and kisses they shared with their loved ones.
Little did those young souls know anything!
It is very heartbreaking and heart rending to have lost 30 innocent souls in a bomb blast at Baghdad stadium.
Little did those young souls know about the ruthless part of the world.
May Allah(swt) grant those souls peace and patience to the parents to endure that loss. For a child without parent is called an Orphan, but what do you call a parent who loses a child?
Development Society's photo.
Flash Player upgrade required
You must download and install the latest version of the Adobe Flash Player to view this content.
LikeShow more reactions
Comment
feroo 


Ferooz amewajia juu mashabiki wake katika mitandao ya kijamii baada ya kuambiwa anatumia madawa ya kulevya.


Ferooz amedai baada ya Chidi Benz kuonekana afya yake imedhoofika kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya basi mashabiki wanamchukulia kila msanii aliyepungua mwili wake anatumia unga.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Ferooz ameandika:

Tatizo la wabongo mnapenda kumjudge mtu na kupenda kumuongelea mabaya mtu tu na sio mazuri yake na hasa msanii asipotoa kazi zake kwa muda mrefu watu wanazusha rumors kibao wengine wameanza kutafuta kick kwa kunyooshea vidole wasanii wengine kisa kuna msanii kajitangaza yeye anakula unga sio kwamba Chidi Benz kutangaza hivyo ndio leo kila msanii ambae kapungua au hajasikika muda anakula unga mnaojaribu kuchafua jina langu kwa dizaini hiyo tafuteni namna nyingine ya kupata kick coz mtaibika mbeleni najitambua kuliko mnavyofikiri b**ch.

Mvutano wa Tanzania na Kenya kwenye ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda umezungumziwa

Wakati Ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda hadi bandari ya Tanga ukitarajiwa kuanza baada ya hatua mbalimbali za mazungumzo kukamilika, taarifa zilizotoka March 28 2016 ni kwamba huu mradi umeziingiza Tanzania na Kenya kwenye mvutano.
Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini Prof Justin Ntalikwa amekiri kuwepo kwa mvutano ila ametoa uhakika wa asilimia 98 kwa Tanzania kuuchuka mradi huo >>>’kwanza tuna uzoefu mkubwa katika ujenzi wa haya mabomba, tuna mabomba kama manne hivi ambayo tayari tumeshayajenga, uwepo wa bandari ya kina kirefu iliyopo Tanga ambayo inaweza kuchukua meli mbalimbali ambazo zinakuja kuchukua hayo mafuta, vilevile nchi yetu ina usalama zaidi ikilinganishwa na hao wenzetu tunaoshindana nao’
Kingine alichothibitisha ni kwamba wamekutana na wafanyabiashara ili kujadili ni jinsi gani wafanyabiashara hao wanaweza kuchangia katika kuchukua fursa mbalimbali zitakazojitokeza baada ya kuupata mradi wa ujenzi wa bomba la  mafuta ghafi unaotarajiwa kujengwa.
>>>‘kwenye huo mradi kuna fursa ambazo ni pamoja na kupata tenda mbalimbali katika kazi zitakazojitokeza,  ajira zitakazoweza kupatikana kwa ajili ya watu wetu Tanzania na pia kuna kodi mbalimbali zitapatikana kwa kulipwa kupitia huo mradi’

TUNAITAJI UKUMBI BORA WA MCHEZO WA MASUMBWI ANZANIA

NDONDI ni miongoni mwa michezo maarufu mno hapa Tanzania na duniani kwa ujumla.

Wapo wanamichezo waliojipatia heshima kubwa duniani kutokana na kufanikiwa kupitia mchezo wa ndondi.

Miongoni mwa wanamichezo hao ni nguli Mohammed Ali, Mike ‘Iron’ Tyson, Evender Holyfield, Floyd Mayweather, Manny Pacquiao na wengineo wengi.
 
Mchezo wa ngumi katika nchi yetu ya Tanzania unazidi kushika kasi kutokana na kuchipukia kwa mabondia wengi na mapromota ambao wanapigana katika kuwania mataji mbalimbali nje na ndani ya Tanzania na kuandaa mapambano . wapo mabondia wengi katika historia ya Tanzania ambao wamewahi kupigana nje ya nchi hukiwauliza kuhusu ubora wa mchezo wa ngumi katika upande wa vifaa vya mchezo huo ndani ya nchi yetu ni imani yangu waliowengi wanaweza kukubaliana nami kuwa bado unahitaji vitu muhimu ili kuendeleza mchezo huo .
Kwa Tanzania tumekuwa na mabondia wengi ambao wameweza kutingisha nje ya Tanzania kama Stanley Mabesi 'Ninja' Joseph Marwa, Rashid Matumla, Rogers mtagwa ,Habibu Kinyogoli Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye kwa sasa ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi na ni mwanaharakati wa mchezo uho kwa nyanja zote kwa sasa na Emanuel Mlundwa ambao waliweza kutwaa mataji mbalimbali ya mchezo huo.
 jambo moja kuu ambalo watanzania tunalisahau ni kukosekana kwa kumbi bora ya mchezo huo kwa upande mwingine kuna wakati baadhi ya watu wanaohusika na mchezo wa ngumi waliwahi kuwa na wazo hilo lakini nimeona nijaribu kulitilia mkazo .
Natoa mfano kama tulivyo weza kujenga uwanja wa taifa na kuziona nchi kubwa duniani zikija kucheza mechi za kirafiki kama Brazil Ivory Coast  na nyingine basi hata mchezo wa ngumi linawezekana ukitazama kama marekani ambao mchezo huu umekuwa kwa kiwango cha juu kutokana nchi hiyo kuboresha maeneo ya kuchezea kumbuka silinganishi kiwango cha mchezo bali ni namna ya kuboresha.
Kwa Tanzania vipo vyama vingi vya mchezo wa ngumi PST,TPBC,TPBO,KBF bila kusahau kile cha taifa cha BFT lakini ni mara kadhaa Makore Mashaga katibu mkuu wa BFT amekuwa akizungumzia juu ya ukosefu wa vifaa maeneo ya mazoezi na kumbi za kupigania vimekuwa ni vikwazo vikubwa kwa mchezo huo kwa Tanzania kwakuwa serikali imeweza kuleta uwanja mpya wa mpira wa miguu ambao hata mchezo wa kufukuza upepo Riada wanafaidika nao halikadharika wanamuziki kupata studio ya kisasa ya kurekodia muziki bila shaka mchezo wa ngumi nao unahitaji eneo zuri la kuchezea mchezo huo kama ilivyo Las Vegas Nevada na MGM Grand au Madson square ni dhahiri inawezakana kwa Tanzania kuwa na kumbi bora ya kisasa na imani vyama vya mchezo wa ngumi vyote nchini vinaweza kukaa chini na kujadiliana na serikali kupitia wizara ya habari utamaduni na michezo kuhakikisha tunapata kumbi bora ya kisasa ya kupigania ili kuongezea ujuzi na viwango vya mchezo wa ngumi kwa Tanzania.
Kama Ufilipino imeweza kutoa bingwa wa dunia hata Tanzania inaweza pia kwani ukiacha soka mchezo wa ngumi ndio mchezo pekee ambao unakuja kwa kasi pengine liwe ombi rasmi kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Nina maliza kwa kusema kuwa ni imani yangu kuwa kwa kujengwa uwanja huo kutawapa mabondia wa tanzania kujiaamini na kuupanua mchezo huo na unaweza pia kulitangaza jina la Tanzania katika Nyanja za utalii ndani na nje ya Tanzania kama inavyowezekana kuleta mastaa wakubwa wa muziki kutoka ulaya na amerika ni dhahiri hakuna lisilowekana kwa Tanzania .
Lakini ikumbukwe kuwa ndondi ndio mchezo uliotoa mwanamichezo anayelipwa zaidi duniani kwa sasa ambaye si mwingine bali ni Floyd Mayweather, akifuatiwa na Manny Paquaio  mwanasoka raia wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo.

Anayeshika nafasi ya tatu ni mchezaji wa mpira wa kikapu LeBron James, wakati mwanasoka anayechezea Barcelona ya Hispania, Muargentina Lionel Messi akishika nafasi ya tano,
nina mengi ya kuongelea kuhusu mchezo wa masumbwi hila kwa leo naomba nishie hapo
 
Mtoto afariki dunia kwa kutumbukizwa
katika kisima cha maji na baba yake
mzazi Morogoro.
[​IMG]
Katika hali isiyo ya kawaida mtoto mmoja aliye julikana
kwa majina ya Elena Mussa mwenye umri wa mwaka
mmoja na miezi mitano mkazi wa kijiji cha Mazoka
wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro amekutwa
akiwaamekufa ndani ya kisima cha maji kwa kile
kilicho daiwa kudumbukizwa na baba yake mzazi
mwenye matatizo ya akili kwa muda mrefu.

Wakizungumza na ITV mashuhuda wa tukio hilo na
ndugu wa marehemu wamesema wakati walipo enda
kuchota maji katika kisima hicho waliuona mwili wa
mtoto huyo ukielea majini kisha kutoa tarifa kwa
mwenyekiti wa kijiji.

Kwa upande wake mwenyekiti wa kitongoji cha Rozi
amesema baada ya kuona tukio hilo alitoa tarifa Polisi
ndipo taratibu za kutoa mwili huo zilianza huku babu
wa marehemu Bwana.Mwanangumi Makala akieleza
jinsi kifo cha mjukuu wake kilivyo tokea.

Kwaupande wake mganga wa Hospital ya wilaya ya
Kilosa Julius Chiduo amethibitisha kutokea kwa tukio
hilo ambapo akitoa taarifa za uchunguzi wa mwili wa
marehemu amesema mtoto huyo amefariki baada ya
kukosa hewa kwa kuzibwa pua na kushindwa kupumua
jambo ambalo limepelekea kupoteza uhai wake.

Miaka 5 jela kumkosoa rais wa Angola

  • Dakika 27 zilizopita


Image caption Msanii Luaty Beirao amefungwa miaka 5 jela kwa kumkosoa rais wa Angola

Mwanamuziki wa kufoka kutoka Angola amehukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa tuhuma za uhaiani na njama za kumpindua rais dos Santos.
Luaty Beirao anatuhumiwa kwa kupanga njama ya kumpindua rais Jose Eduardo dos Santos.
Mwanamuziki huyo mashuhuri alifikishwa mahakamani mjini Luanda pamoja na washirika wake wengine 16 na wakahukumiwa vifungo vya kati ya miaka 2 hadi 8.
Wanaharakati hao 17 walikamatwa mwezi Juni walipopatikana wakijadili kitabu kimoja kilichokuwa na mada ya kutafuta mbinu isiyo ya kutumia nguvu kuleta mabadiliko nchini.

Image copyright AFP
Image caption Rais dos Santos ametawala Angola tangu mwaka wa 1979.
Rais dos Santos ametawala Angola tangu mwaka wa 1979.
Beirao, ambaye anatumia jina la usanii la ''Ikonoklasta'', amekuwa mkakamavu kuikosoa serikali, na kutaka ugavi sawa wa raslimali miongoni mwa maskini waliowengi nchini humo.
Mwezi septemba mwaka uliopita alisusia kula na kunywa katika jitihada za kuishinikiza serikali kumuachilia hru.



Image caption Luaty Beirao aliyevalia miwani
Jaji alitoa hukumu hiyo kufuatia mashtaka ya kupanga njama dhidi ya rais wa jamhuri kughushi stakabadhi rasmi za serikali na kujiunga na kundi haramu.
Maelfu ya watu wamekasirishwa na hukumu hiyo wakidai ni hujuma dhidi ya wale wanaomkosoa rasi Dos Santos.
na rashid hamza

Hiki ndiyo kiashiria cha AY kufanya tour na Diamond Platinumz

0
Muziki wa Tanzania unazidi kukua zaidi na kuwa moja ya nchi ambayo inatazamwa zaidi katika soko la muziki kwa bara la Afrika ambapo msanii Diamond Platinumz amekuwa mbele akiongoza katika orodha ya wasanii ambao wanapeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.
Aidha Diamond kwa sasa anafanya ziara barani Ulaya katika nchi mbalimbali ambapo kupitia akaunti zake za mitandao mbalimbali ya kijamii amekuwa akionyesha jinsi shoo zake zinafanyika vizuri kwa kuwaburudisha mashabiki wake katika nchi hizo.
Moja ya video ambayo video aliweka Instagram alionekana akiimba wimbo wa Zigo Remix ambao alishirikishwa na AY na kuandika “About last Night in STOCKHOLM SWEDEN… @aytanzania you need to watch this #ZigoRemix …..add me on Snapchat…. Dplatnumz Dplatnumz#FromTandaleToTheWorldTour
 Baada ya kuweka video hiyo AY ali’repost’ na kuongeza maneno “I SEE U MAN ENDELEA KUWAKILISHA,SOON TUTAZUNGUKA PAMOJA” ambapo kwa namna moja au nyingine maneno hayo ni kiashiria tosha kuwa AY anataraji kufanya ziara za kimuziki akiwa na staa mwenzake Diamond.
Kama wadau wa muziki nchini tusubiri kuona ni jambo gani litafuata baada ya maneno hayo ya matumaini kwa Watanzania kuona muziki wao ukikua zaidi.

kauni leo


na
BannerFans.com

VIDEO OF THE DAY

NDUGU WA MGONJWA WAMSHUSHIA KIPIGO DAKTARI HOSPITALINI

Picha ya maktaba daktari akiwa na mtoto.

Mtwara. Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Rufani Mkoa wa Mtwara, Ligula, wamegoma kutoa huduma baada ya mwenzao kudaiwa kupigwa na ndugu wa mgonjwa hadi kuvuliwa nguo.

Tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 5.00 asubuhi, baada ya mgonjwa kulazwa hospitalini hapo tangu Jumamosi kutokana na ajali ya pikipiki na kupewa rufaa jambo lililowaudhi.

Madaktari wa hospitali hiyo walioshuhudia tukio hilo, walisema majeruhi alifikishwa hospitalini Jumamosi akiwa ameumia na aliendelea kupatiwa huduma.

Madaktari hao waliomba kutotajwa, walisema mwenzao alipigwa baada ya kutoa taarifa za rufaa kwa ndugu wa mgonjwa kuwa anatakiwa kupelekwa Muhimbili.

Daktari mwingine alipoulizwa sababu za wao kutotoa huduma na kujikusanya kwenye moja ya jengo la hospitali hiyo, alidai ni kwa ajili ya usalama wao kwani kitendo alichofanyiwa mwenzao kimewafedhehesha na kuwadhalilisha.

Mmoja wa wagonjwa walioathiriwa na mgomo huo, Zamda Kupwaja alisema alifika hospitalini hapo majira ya saa 6.00 mchana, alipata cheti na alipomuona daktari alimwandikia dawa alipokwenda dukani hapakuwa na mhudumu.

Daktari aliyepigwa, Saini Dickson alisema alikwenda kumuona mgonjwa kama kawaida kwani alishamwandikia vipimo (x-ray) na kwamba, alianza kupatiwa matibabu ya nyama kabla ya mfupa.


“Baada ya kuona vipimo, niliwaeleza nitawaandikia waende Muhimbili wakaanza kulalamika kwa nini isiwe Nyangao au Ndanda, nikawaambia sifahamu matibabu yao siwezi kumtoa mgonjwa hospitali ya rufaa nimpeleke ya chini,” alisema Dk Dickson.MWANANCHI

Mbeya City imezungumza baada ya taarifa za Juma Kaseja kusambazwa leo

Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ambayo inachezewa na golikipa wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga Juma Kaseja, mchana wa March 28 imeamua kuweka taarifa sawa kuhusiana na tetesi au uvumi uliokuwa unasambazwa mtandaoni kuhusu Kaseja.
Mbeya City imetumia ukurasa wake wa instagram, baada ya kuzipata taarifa zisizo za kweli kuhusu uvumi kuwa golikipa wao Juma Kaseja amefariki Dunia, ukweli ni kuwa huo ni uzushi uliotungwa na watu, Juma Kaseja ni mzima na leo amefanya mazoezi na timu.
kaseja
Hii ndio post ya Mbeya City iliyotoa ufafanuzi kuhusu tetesi hizo.
“Kuna taarifa zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii hivi sasa kuwa kipa Juma Kaseja amefariki Dunia, tuchukue nafasi hii kuwajulisha kuwa taarifa hizo sio za kweli, Kaseja yupo salama na leo alifanya mazoezi na timu kujiandaa na mchezo dhidi ya Coastal Union”Monday, 28na rashid hamza

Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ
Monday, 28 March 2016 AJALI YA LORI YAUA SABA NA MAJERUHI KUMI PICHA HII HAIHUSIANI NA HABARI HUSIKA WATU saba wamekufa na wengine 10 k u j e r u h i w a baada ya gari walilokuwa wanasafiri nalo aina ya Mitsubishi Fuso kupasuka tairi la mbele na kugonga kingo za barabara katika barabara kuu ya Igunga-Singida. Wengi wao walikuwa wafanyabiashara ya samaki waliokuwa wakitokea Igunga kwenda kijiji cha Loya wilayani Uyui, Tabora. Kutokea kwa ajali na vifo hivyo kumethibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Khamis Selemani Issah aliyesema ilitokea majira ya saa tatu usiku katika kijiji cha Nanga, kata ya Nanga wilaya ya Igunga. Alisema lori hilo lenye namba za usajili T 124 ACS lilibeba abiria wengi kinyume na sheria za usafirishaji wa abiria na kuongeza kuwa hatua kali zitachukuliwa kwa watakaobanika kubeba abiria katika magari ya mizigo. Mara baada ya ajali hiyo, dereva wake aliyetajwa kuwa ni Joseph Masali alitoweka eneo la tukio na jeshi la polisi linamtafuta aweze kujibu tuhumu zinazomkabili kuhusiana na ajali hiyo. Kamanda huyo aliendelea kusema ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva kutokana na mwendo kasi pamoja na pia kwa kuvunja sheria ya kubeba abiria kwa gari la mizigo. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga, Abdallah Ombeni alipokea majeruhi 11 na miili 6 katika hospital hiyo huku majeruhi mmoja alisafirishwa katika Hospital ya Rufaa ya Nkinga kwa matibabu zaidi kutokana na hali yake kuwa mbaya, hata hivyo alifariki dunia akiwa njiani. Amewataja waliokufa kuwa ni Masesa Sagalali, Omar Rajabu, Shaaban Ibrahim, Sagalali Maige, Selestine Lipande, Juma Iddi na mwingine aliyetambulika kwa jina mmoja la James. Juma Hassan, mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo alisema chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi. Posted by Sophia Mbeyu at 17:10 Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest

Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ
AJALI YA LORI YAUA SABA NA MAJERUHI KUMI PICHA HII HAIHUSIANI NA HABARI HUSIKA WATU saba wamekufa na wengine 10 k u j e r u h i w a baada ya gari walilokuwa wanasafiri nalo aina ya Mitsubishi Fuso kupasuka tairi la mbele na kugonga kingo za barabara katika barabara kuu ya Igunga-Singida. Wengi wao walikuwa wafanyabiashara ya samaki waliokuwa wakitokea Igunga kwenda kijiji cha Loya wilayani Uyui, Tabora. Kutokea kwa ajali na vifo hivyo kumethibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Khamis Selemani Issah aliyesema ilitokea majira ya saa tatu usiku katika kijiji cha Nanga, kata ya Nanga wilaya ya Igunga. Alisema lori hilo lenye namba za usajili T 124 ACS lilibeba abiria wengi kinyume na sheria za usafirishaji wa abiria na kuongeza kuwa hatua kali zitachukuliwa kwa watakaobanika kubeba abiria katika magari ya mizigo. Mara baada ya ajali hiyo, dereva wake aliyetajwa kuwa ni Joseph Masali alitoweka eneo la tukio na jeshi la polisi linamtafuta aweze kujibu tuhumu zinazomkabili kuhusiana na ajali hiyo. Kamanda huyo aliendelea kusema ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva kutokana na mwendo kasi pamoja na pia kwa kuvunja sheria ya kubeba abiria kwa gari la mizigo. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga, Abdallah Ombeni alipokea majeruhi 11 na miili 6 katika hospital hiyo huku majeruhi mmoja alisafirishwa katika Hospital ya Rufaa ya Nkinga kwa matibabu zaidi kutokana na hali yake kuwa mbaya, hata hivyo alifariki dunia akiwa njiani. Amewataja waliokufa kuwa ni Masesa Sagalali, Omar Rajabu, Shaaban Ibrahim, Sagalali Maige, Selestine Lipande, Juma Iddi na mwingine aliyetambulika kwa jina mmoja la James. Juma Hassan, mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo alisema chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ
AJALI YA LORI YAUA SABA NA MAJERUHI KUMI PICHA HII HAIHUSIANI NA HABARI HUSIKA WATU saba wamekufa na wengine 10 k u j e r u h i w a baada ya gari walilokuwa wanasafiri nalo aina ya Mitsubishi Fuso kupasuka tairi la mbele na kugonga kingo za barabara katika barabara kuu ya Igunga-Singida. Wengi wao walikuwa wafanyabiashara ya samaki waliokuwa wakitokea Igunga kwenda kijiji cha Loya wilayani Uyui, Tabora. Kutokea kwa ajali na vifo hivyo kumethibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Khamis Selemani Issah aliyesema ilitokea majira ya saa tatu usiku katika kijiji cha Nanga, kata ya Nanga wilaya ya Igunga. Alisema lori hilo lenye namba za usajili T 124 ACS lilibeba abiria wengi kinyume na sheria za usafirishaji wa abiria na kuongeza kuwa hatua kali zitachukuliwa kwa watakaobanika kubeba abiria katika magari ya mizigo. Mara baada ya ajali hiyo, dereva wake aliyetajwa kuwa ni Joseph Masali alitoweka eneo la tukio na jeshi la polisi linamtafuta aweze kujibu tuhumu zinazomkabili kuhusiana na ajali hiyo. Kamanda huyo aliendelea kusema ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva kutokana na mwendo kasi pamoja na pia kwa kuvunja sheria ya kubeba abiria kwa gari la mizigo. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga, Abdallah Ombeni alipokea majeruhi 11 na miili 6 katika hospital hiyo huku majeruhi mmoja alisafirishwa katika Hospital ya Rufaa ya Nkinga kwa matibabu zaidi kutokana na hali yake kuwa mbaya, hata hivyo alifariki dunia akiwa njiani. Amewataja waliokufa kuwa ni Masesa Sagalali, Omar Rajabu, Shaaban Ibrahim, Sagalali Maige, Selestine Lipande, Juma Iddi na mwingine aliyetambulika kwa jina mmoja la James. Juma Hassan, mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo alisema chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

Majanga ya Pasaka Shinyanga !! KAKA AMUUA KWA KISU KIJANA ALIYENG'ANG'ANIA KUCHUKUA DADA YAKE KWA NGUVU BAR

Jiunge Nasi Tuwe Tunakutumia Habari Mara tu zinapotokea! ..Bofya HAPA Ujiunge Sasa..




Siku moja tu baada ya kijana kuuawa kwa kupigwa kitu chenye ncha kali kichwani kisha kuvunjwa mguu akitoka disko siku ya mkesha wa pasaka,kijana mwingine ameuawa kwa kuchomwa kisu akilazimisha kuchukua dada wa mtu aliyejulikana kwa jina la Emmanuel Shombe katika baa ya Matunu mjini Shinyanga.


Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Dismas Kisusi amesema  tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo saa 6:09 usiku katika eneo la Matunu Baa iliyopo mtaa wa Kaunda kata ya Shinyanga mjini.


Kamanda Kisusi amemtaja aliyeuawa kuwa ni Jumanne Ramadhani(22) mwendesha bodaboda mkazi wa Ndala katika manispaa ya Shinyanga ambaye alichomwa kisu kifuani upande wa kushoto na Emmanuel Shombe(20) mkazi wa Majengo na mfanyakazi wa kampuni ya Mobisolar inayojihusisha na uuzaji wa solar.
Amesema chanzo cha tukio hilo ni marehemu kutaka kumchukua kwa nguvu dada yake na Emmanuel Shombe aitwaye Ester Shombe(18) mkazi wa Majengo mjini Shinyanga.

“Marehemu alikuwa analazimisha kumchukua kwa nguvu Ester Shombe,ndipo kaka yake Emmanuel Shombe akachukua kisu na kumchoma nacho kifuani upande wa kushoto kulikomsababishia kuvuja damu nyingi,na alifariki akiwa njiani kupelekwa hospitali”,ameeleza Kamanda Kisusi.

Amesema tayari jeshi la polisi linawashikilia watu wanne kwa ajili ya mahojiano zaidi juu ya tukio hilo ambao ni Emmanuel Shombe,Ester Shombe,Joseph Amos na Tausi Mathias. 
Na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Kujua kitakachotokea Zanzibar Bofya Hapa Chini☟⇓