Shilole Acharuka! Avipiga Mkwara Videmu Vinavyomshobokea Nuhu Mziwanda, Aweka Picha Kuonyesha Alipomtoa Mziwanda
- Kutoka pic ya kwanza mpaka ya pili sio kaz ndogo aiseee haraf nashangaaa videm from no where vinaanza shobo mamaeeeee zenu kama mnatumwa kufitinisha mapenz yetu mmefeli mimi ndo ashangedere na mim ndo shishi mtoto wa Tabora nimezoea kula ugali sio wa chipsi mayai sasa mtu ajifanye anshobo na baby wangu aje nimuoneshe jinsi majengo ya serikali yanavyogawanywa watu! nampenda mpenz wangu ndo maana namsapot"-Shishi alimaliza
Nadhani Shilole umeeleweka.