Friday, April 29, 2016

Post a Comment

Emoticon
Matangazo/Adverts Call +255 714604974

.

.

WWW.AJIRAYAKO.COM

Nafasi za Kazi Mwananchi Communications Limited, Application Deadline Application
Ahadi ya Rais Magufuli Kuonyesha Salary Slip ya Mshahara Wake Akitoka Likizo yakumbushiwa….

Ahadi ya Rais Magufuli Kuonyesha Salary Slip ya Mshahara Wake Akitoka Likizo yakumbushiwa….

Mdau mmoja wa ACT Wazalendo  kutoka Kibaha ajulikanae kama Habib Mchange ameandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Facebook kuhusu ahadi ya Rais Magufuli kuonyesha Salary Slip ya Msahara wake:”Hivi Rais ‪#‎MAGUFULI‬ bado yupo likizo au amesharudi kazini Magogoni?.Mbona alituahidi kutuonyesha ‪#‎SALARY‬-‪#‎SLIP‬ yake anayolipwa 9.5ml. Kila mwezi kama mshahara na Mpaka leo Kimya?.#Magufuli Baba ahadi ni deni. Tuwekee wazi kale ka salary Slip kako ili tuone unavyoyaishi maneno yako.Yawezekana umesahau na wanaokuzunguka wanaogopa kukukumbusha wanahofu utawatumbua.Kwetu sisi ‪#‎ACtWAZALENDO‬ ni Kusema ukweli tu bila kumung’unya Maneno.‪#‎AuNaloJipu‬?” By Habib