Ferooz amewajia juu mashabiki wake katika mitandao ya kijamii baada ya kuambiwa anatumia madawa ya kulevya.
Ferooz amedai baada ya
Chidi Benz kuonekana afya yake imedhoofika kutokana na matumizi ya
madawa ya kulevya basi mashabiki wanamchukulia kila msanii aliyepungua
mwili wake anatumia unga.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Ferooz ameandika:
Tatizo la wabongo mnapenda
kumjudge mtu na kupenda kumuongelea mabaya mtu tu na sio mazuri yake na
hasa msanii asipotoa kazi zake kwa muda mrefu watu wanazusha rumors
kibao wengine wameanza kutafuta kick kwa kunyooshea vidole wasanii
wengine kisa kuna msanii kajitangaza yeye anakula unga sio kwamba Chidi
Benz kutangaza hivyo ndio leo kila msanii ambae kapungua au hajasikika
muda anakula unga mnaojaribu kuchafua jina langu kwa dizaini hiyo
tafuteni namna nyingine ya kupata kick coz mtaibika mbeleni najitambua
kuliko mnavyofikiri b**ch.
No comments:
Post a Comment