Mbeya City imezungumza baada ya taarifa za Juma Kaseja kusambazwa leo
Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ambayo inachezewa na golikipa wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga Juma Kaseja, mchana wa March 28 imeamua kuweka taarifa sawa kuhusiana na tetesi au uvumi uliokuwa unasambazwa mtandaoni kuhusu Kaseja.
Mbeya City imetumia ukurasa wake wa instagram, baada ya kuzipata taarifa zisizo za kweli kuhusu uvumi kuwa golikipa wao Juma Kaseja amefariki Dunia, ukweli ni kuwa huo ni uzushi uliotungwa na watu, Juma Kaseja ni mzima na leo amefanya mazoezi na timu.
“Kuna
taarifa zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii hivi sasa kuwa kipa
Juma Kaseja amefariki Dunia, tuchukue nafasi hii kuwajulisha kuwa
taarifa hizo sio za kweli, Kaseja yupo salama na leo alifanya mazoezi na
timu kujiandaa na mchezo dhidi ya Coastal Union”Monday, 28na rashid hamza
Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ
Monday, 28 March 2016
AJALI YA LORI YAUA SABA NA MAJERUHI KUMI
PICHA HII HAIHUSIANI NA HABARI HUSIKA
WATU saba wamekufa na wengine 10 k u j e r u h i w a baada ya gari
walilokuwa wanasafiri nalo aina ya Mitsubishi Fuso kupasuka tairi la
mbele na kugonga kingo za barabara katika barabara kuu ya
Igunga-Singida.
Wengi wao walikuwa wafanyabiashara ya samaki waliokuwa wakitokea Igunga
kwenda kijiji cha Loya wilayani Uyui, Tabora.
Kutokea kwa ajali na vifo hivyo kumethibitishwa na Kamanda wa Polisi
mkoa wa Tabora, Khamis Selemani Issah aliyesema ilitokea majira ya saa
tatu usiku katika kijiji cha Nanga, kata ya Nanga wilaya ya Igunga.
Alisema lori hilo lenye namba za usajili T 124 ACS lilibeba abiria wengi
kinyume na sheria za usafirishaji wa abiria na kuongeza kuwa hatua kali
zitachukuliwa kwa watakaobanika kubeba abiria katika magari ya mizigo.
Mara baada ya ajali hiyo, dereva wake aliyetajwa kuwa ni Joseph Masali
alitoweka eneo la tukio na jeshi la polisi linamtafuta aweze kujibu
tuhumu zinazomkabili kuhusiana na ajali hiyo.
Kamanda huyo aliendelea kusema ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa
dereva kutokana na mwendo kasi pamoja na pia kwa kuvunja sheria ya
kubeba abiria kwa gari la mizigo.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga, Abdallah Ombeni
alipokea majeruhi 11 na miili 6 katika hospital hiyo huku majeruhi mmoja
alisafirishwa katika Hospital ya Rufaa ya Nkinga kwa matibabu zaidi
kutokana na hali yake kuwa mbaya, hata hivyo alifariki dunia akiwa
njiani.
Amewataja waliokufa kuwa ni Masesa Sagalali, Omar Rajabu, Shaaban
Ibrahim, Sagalali Maige, Selestine Lipande, Juma Iddi na mwingine
aliyetambulika kwa jina mmoja la James. Juma Hassan, mmoja wa majeruhi
wa ajali hiyo alisema chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi.
Posted by Sophia Mbeyu at 17:10 Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare
to FacebookShare to Pinterest

No comments:
Post a Comment