Monday, October 26, 2015

ZEC Imetangaza Matokeo ya Urais Zanzibar Katika Majimbo Manne Mpaka Sasa.......CCM imeshinda matatu, CUF 1

Mpekuzi blog

Hadi sasa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imeshatangaza matokeo ya kura za urais kwa majimbo manne kati ya 54. 

Majimbo hayo ni Kwahani, Fuoni, Kiembesamaki na Malindi. Dk. Shein wa CCM anaongoza kwenye majimbo matatu ya Kwahani, Fuoni na Kiembesamaki huku Maalim Seif wa CUF akiongoza kwenye jimbo la Malindi.

Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Yaanza Kutangaza Matokeo ya Urais......Majimbo Matatu yametangazwa na Yote Yamechukuliwa na CCM

Mpekuzi blog

Tume  ya  Taifa  ya  Uchaguzi  imeanza  zoezi  la  kutangaza  Matokeo  ya  Urais  ambapo  mpaka  sasa  majimbo  matatu  yametangazwa.  Majimbo  Yaliyotangazwa  ni  Jimbo  la  Makunduchi,Pache  na  Lulindi

Katika  majimbo  yote  matatu  yaliyotangazwa, Dr Magufuli  ameongoza  kwa  mbali  dhidi  ya  mpinzani  wale  Edward  Lowassa.