Monday, March 28, 2016

Wajumbe Wateule wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Wafanya Usajili Kwa Ajili ya Maandalizi ya Kuaza kwa Baraza la Wawakilishi Zanzibar 30March 2016

 Jimbo la Kijitoupele Ali Shihata

“Msomi Nick wa Pili, mimi niliachaga Makongo,” anasema Dogo Janja kwenye wimbo wake mpya, My Life.

Na sasa rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa hawezi tena kurudi shule.

“Siku zote linapokuja suala la elimu, sio kitu cha kufanya kwaajili ya kuiga na pia unatakiwa ufuate kichwa chako kinaenda vipi. Sometimes watu wanaweza wakawa wanakuforce sana ‘soma, soma’ lakini wewe mwenyewe unakuwa unaangalia future yangu mimi haipo kwenye kusoma,” amesema.
“Au hata nikipelekwa kusoma, siwezi nikafanya vizuri, kwahiyo ni bora ukomboe hela za watu wanaotaka kukusaidia kukupeleka shule,” ameongeza.
“Kama kuna kitu cha kusomea nitasoma, lakini sio ile elimu ya kuvaa masare, kukimbia pale getini pale Makongo, kutembea na mguu, Mwenge to Makongo, hapana siwezi.
MADA MAUGO APIGWA T.K.O YA RAUNDI YA TATU WENZAKE WOTE WAKITOKA DROO Bondia Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo Picha na SUPER D BOXING NEWS MABONDIA PIUS KAZAULA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA MPINZANI WAKE SEBA TEMBA REFARII WA MPAMBANO WA MASUMBWI SAID CHAKU AKIWAINUA MIKONO JUU MAONDIA PIUS KAZAULA KUSHOTO NA SEBA TEMBA BAADA YA MPAMBANO WAO KUMALIZIKA KWA DROO Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia mohamed Matumla kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano uho ulisha kwa droo Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia mohamed Matumla kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano uho ulisha kwa droo Picha na SUPER D BOXING NEWS Mabondia Mada Maugo kioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdallah Pazi wakai wa mpambano wao Pazi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatu wakati wa mpambano wao uliofanyika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS Mabondia Nassibu Ramadhani kushoto akionshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa raundi nane uliofanyika katika uwanja wa ndani wa taifa siku ya jumapili ya psaka mpambano uho ulisha kwa maamuzi ya droo Picha na SUPER D BOXING NEWS Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano waouliofanyika uwanja wea ndani wa taifa Dar es salaam mpambano uho ulishaa kwa Droo Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu MASHABIKI wapata burudani mashabiki waliofika uwanja wa ndani wa taifa kulikokuwa kunafanyika mchezo wa masumbwi wametoka na furaha tele baada ya kushudia mapambano waliyokuwa wakiyasubili kwa hamu kubwa hapa nchini akizungumza baada ya kumalizika mpambano uho mratibu wa mapambano hayo Rajabu Mhamili 'Super D' amesema mashabiki wamefuraia mapambano ambayo karibia yote yalimalizika kwa droo akitaja matokeo ya mapambano hayo amesema bondia Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' alimsambaratisha bondia Mada Maugo kwa T.K.O ya raundi ya tatu wakati Mohamedi Matumla na Cosmas Cheka waritoka droo wakati Pius Kazaula alitoa Droo na Seba Temba mpambano mwingine mkali uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa ngumi nchini kati ya bondia Nassibu Ramadhani na Fransci Miyeyusho nawo pia umemalizika kwa sale wakati uhu uhu mabondia Mfaume Mfaume na Ramadhani Shauri wanatarajia kusaini mkataba wa kuzipiga siku y mei mosi katika uw Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

Ungefanya Nini Kama Umerudi Nyumbani & Unakuta Mke Wako Afanya Hivi Kwa Mtoto wako ?

dooo-225x300
Utafanyaje Kama umerudi Nyumbani kwako na unakuta Mkeo anafanya hivi kwa Mwanao ?
Andika maoni yako.
na Zena Iddi kutoka Dare es Salaam

WAOGELEAJI NANE WA TANZANIA KUSHINDANA KESHO (JUMANNE)

Kocha wa TSS, Michael Livingstone akiwafundisha waogeleaji Celina Itatiro na Marin de Villard kwenye bwawa la Ellis Park mjini Johannesburg Afrika Kusini kwa ajili ya Kusini tayari kushindana katika mashindano ya South Africa level 2.
Kocha wa TSS, Alex Mwaipasi akiwafundisha waogeleaji wa TSS, kwenye bwawa la Ellis Park mjini Johannesburg Afrika Kusini kwa ajili ya Kusini tayari kushindana katika mashindano ya South Africa level 2
Adil Bharmal na Pieter De Raadt wakionyesha ufundi wao katika ku-dive wakati wa mazoezi ya timu ya TSS kwenye bwawa la kuogelea la Ellis Park kabla ya mashindano ya South Africa level 2
Waogeleaji wa Tanzania Swim Squad (TFF) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazoezi yaliyofanyika kwenye bwawa la Ellis Park mjini Johannesburg Afrika Kusini tayari kushindana katika mashindano ya South Africa level 2
Viongozi wa timu ya Tanzania Swim Squad (TSS), Thauriya Diria (wa kwanza kushoto) na Inviolata Itatiro (Katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na kocha Michael Livingstone wakiwa katika picha ya pamoja TSS kwenye bwawa la kuogelea la Ellis Park kabla ya mashindano ya South Africa level 2
………………………………..
Na Mwandishi wetu,Johhanesburg

Jumla ya waogelaji nane wa timu ya Tanzania Swim Squad (TSS) watakuwa na ratiba ngumu kesho ya kuwania medali mbalimbali katika siku ya pili ya mashindano ya Kimataifa ya Afrika Kusini “South Africa Level 2” yaliyoanza jana kwenye bwawa la kuogelea la Ellis Park.

Waogeleaji hao ni Celina Itatiro, Marin de Villard, Adil Bharmal, Amani Dogart, Josephine Oosterhuis, Jacquelene Kortland, Isabella Kortland, Pieter De Raadt, Celina Itatiro na Marin de Villard.

Waogeleaji hao watawania medali katika mashindano ya mita 50, 100, 200 na relay katika kwa upande wa wanawake na wanaume kwa kushindana na waogeeaji wengine kutoka nchi za Zimbabwe, Msumbiji, Namibia na wenyeji Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na waandaaji, Adil ndiye ataanza kuwania medali kwa uande wa Tanzania kwa waogeaji wenye umri miaka 16 na kufuatiwa na Marin kwa upande wa mita 200 freestyle kwa waogeleaji wa wa miaka 11 na baadaye wasichana, Celina na Amani kushindana kwa upande wa wanawake wenye umri wa miaka 11 katika staili ya free style.

Ratiba hiyo inaonyesha kuwa Adil na Marin wataingia tena kwenye ‘maji’ kushindana katika staili ya breaststroke mita 100 kwa upande wa umri wao ns baadaye Josephine na Jacqueline watapambana kwa watoto wenye umri wa miaka 15 na kufuatiwa na Celina na Amani tena.

Baada ya kushindana katika staili hizo mbili (freestyle na breaststroke mita 100 na 200), waogealeaji, Adil na Marin wataingia tena mashindananoni kuwania medali kwa upende wa mita 50 backstroke na baadaye Isabela Kortland, Josephine, Amani na Celina watawania medali tena.

“Ni ratiba ngumu sana kwa waoageaji wetu, ila tunashukuru kuwa wameweza kufanya mazoezi na kidogo kuzoea hali ya hewa ya ubaridi, sisi (TSS) tutatokea mji wa joto inaweza kutupa shida kwani baridi ya huku inaambatana na jua la kuchoma, si hai nzuri, ila tutajitahidi,” alisema Alex Mwaipasi.

Mwaipasi ambaye yupo na kocha mwenzake, Michael Livingstone alisema kuwa mashindai hayo ni magumu sana kutokana na idadi ya waogeleaji na idadi ya mashindano ambayo kila muogeleaji atashindana.

“Celina anatarajia kushindana katika mashindano tofauti 11, si mchezo na waogeleaji wpo zaidi ya 1000, nchi nyingi za ukanda wa Kusini mwa Afrika wameleta waogeaji, ni mashindano mazuri kwa kuwapa uzoefu waogeleaji wetu,” alisema Michael.
BannerFans.com

VIDEO OF THE DAY

KWANINI TUMBILI NA MIJUSI NI DILI LA KUTUPWA ULAYA.

Mjusi aina ya AgamaDar/Moshi. Siri ya utoroshaji wa wanyama na wadudu hai kutoka Tanzania kwenda nje ya nchi imebainika. Wamekuwa wakitumika katika nchi mbalimbali kwenye utafiti, mapambo na kitoweo.

Uchunguzi uliofanywa na waandishi wetu, umebaini matumizi hayo na kuwa wanyama wanaotakiwa kwa wingi ni mijusi ya bluu, kenge na tumbili wanaopelekwa katika nchi za Ulaya kupitia viwanja viwili vya ndege hapa nchini.

Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Herman Keraryo alisema mbali na wanyama hao, wengine wanaopelekwa nje ni jamii ya nyani, wadudu na ndege.

Alisema hakuna nchi ambayo imejitambulisha kipeke kununua wanyama hao, bali imekuwa ni biashara kati ya mzawa na mnunuzi.

Alipoulizwa kuhusu uhalali wa biashara hiyo, Keraryo alisema mfanyabiashara lazima awe na leseni inayotambuliwa na Serikali; “... na siyo kila ndege anasafirishwa au nyani, kuna aina ya ndege wasioruhusiwa ila kwa kutozingatia sheria, baadhi ya watu wanaivunja.” 

Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Tanapa, Gerald Bigurube alisema wanyama kama kobe na kakakuona nao wamekuwa wakisafirishwa zaidi kwenda Vietinam na China kwa matumizi ya chakula na dawa.

Alisema matumizi mengine ya wanyama hao wanaopelekwa Marekani na Ulaya yamekuwa ni kwa ajili ya shughuli za mapambo.

“Wanyama hai na wadudu kwa kifupi wana soko pana sana duniani na matumizi yake ni kama hayo lakini inakuwa vigumu kujua moja kwa moja wanapelekwa nchi gani,” alisema.

Bigurube alisema wanyama wengine wamekuwa wakipelekwa kwenye maeneo ya mafunzo ili watu wengine duniani wajifunze historia yao. Imeelezwa kuwa mijusi ya bluu ambayo inapatikana Tanzania pekee ndiyo inayotafutwa zaidi na kila mmoja umekuwa ukiuzwa kwa Euro 5,000 (Sh12.2 milioni.)

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali ndani ya Idara ya Wanyamapori, wimbi la ukamataji na utoroshaji wa mijusi hiyo na tumbili linatokana na kuhitajika katika nchi mbalimbali kwa ajili ya utafiti.

“Kitu kinachoibwa zaidi sasa hivi nchini ni hao tumbili kwa sababu wanatumika sana huko nje kwa ajili ya utafiti wa kitabibu,” kilidokeza chanzo chetu na kuongeza: “Hata unavyoona, faru wanauawa ni kwamba wenzetu huko nchi za Asia wanaamini unga wake unasaidia kuongeza nguvu za kiume.”

Matumizi hayo yamebainika siku chache baada ya vyombo vya dola kuwashikilia raia wawili wa Uholanzi kwa kosa la kusafirisha tumbili 61 ambao walikuwa wapelekwe Albania kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia).

Habari zilizopatikana juzi zilidai kwamba mmoja wa maofisa wanyamapori alipewa bakshishi ya Dola 3,000 za Marekani, sawa na Sh6.4 milioni za Tanzania katika ‘dili’ hiyo ya tumbili 61.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe alikiri kuwa tumbili na mijusi hao wa bluu ndiyo wanaowindwa zaidi kwa sasa; “... na huyo Williams Blue Lizard ni mjusi anayepatikana Kimboza na Ruvu. 

Ndiyo maeneo pekee duniani. Huyo mjusi anakaa juu ya miti kwa hiyo wanachofanya ni kukata mti na kuuangusha ndipo wanawakamata na kuwaweka kwenye mabegi. Wanafanya uharibifu mkubwa.”

Profesa Maghembe alisema mijusi hao huuzwa kati ya Euro 5,000 hadi 6,000 kila mmoja katika nchi za Ulaya.

Kuhusu tumbili, Profesa Maghembe alisema mpango ulikuwa ni kukamata tumbili 441 kwa awamu lakini kikwazo kikubwa kilikuwa ni upatikanaji wa kibali cha kuwasafirisha kwenda nje.

Alipoulizwa kwa nini raia hao wa Uholanzi wamekamatwa wakati walikuwa na kibali, alisema kibali hicho kilitolewa katika mazingira ya rushwa.

“Ni kweli walikuwa na kibali lakini kilitolewaje wakati nilishazuia na waraka ukatolewa? Lakini ujue hawakuwa na kibali pia cha kuwakamata hao wanyama,” alisema. 

“Hili jambo lina njama kubwa na ndiyo maana tumeamua lichunguzwe na kile kikosi kazi cha kitaifa ambacho huchunguza makosa makubwa ya kihalifu,” alisisitiza.MWANANCHI
 na Rashid Hamza

Afisa Madini Mkoa wa Geita Fabiani Mshai amewataka wachimbaji wadogo wadogo Mkoani humo kuwa wavumilivu wakati Ofisi yake kwa kushirikina Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo wakitafuta maeneo ya kumwaigia mawe yanayodhaniwa kuwa dhahabu maarufu kwa jina la magwangala.

Akizungumza na channel Ten kuhusu maeneo ya kumwaga mawe hayo kama walivyoagizwa na waziri mkuu amesema si kwamba Serikali imekaa kimya bali utaratibu unaendelea wa kupata maeneo yaliyo salama.

Amesema maeneo yote ambayo hayakumilkiwa na watu wameyachukua na utafiti unafanyika ili kubaini kama kuna dhahabu ili waweze kuwapa maeneo hayo wachimbaji wadogo.

Juzi wachimbaji wa Mgusu walifanya mkutano baada ya eneo lao kufungwa na kubainisha maeneo ambayo Serikali ikiwapatia wanaweza kupata riziki na familia zao na hapa wanayabanisha.
Next
This is the most recent post.
Previous
Sharif aahidi kuangamiza magaidi Pakistan

Post a Comment Blogger