MADA MAUGO APIGWA T.K.O
YA RAUNDI YA TATU WENZAKE WOTE WAKITOKA DROO Bondia Pus Kazaula kushoto
akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake Seba Temba wakati wa
mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa
Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo Picha na SUPER D BOXING
NEWS MABONDIA PIUS KAZAULA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA MPINZANI WAKE SEBA
TEMBA REFARII WA MPAMBANO WA MASUMBWI SAID CHAKU AKIWAINUA MIKONO JUU
MAONDIA PIUS KAZAULA KUSHOTO NA SEBA TEMBA BAADA YA MPAMBANO WAO
KUMALIZIKA KWA DROO Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia mohamed Matumla
kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa

taifa mpambano uho ulisha kwa droo Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia
mohamed Matumla kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Cosmas
Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika
uwanja wa ndani wa taifa mpambano uho ulisha kwa droo Picha na SUPER D
BOXING NEWS Mabondia Mada Maugo kioneshana umwamba wa kutupiana makonde
na Abdallah Pazi wakai wa mpambano wao Pazi alishinda kwa T.K.O ya
raundi ya tatu wakati wa mpambano wao uliofanyika uwanja wa ndani wa
Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS Mabondia Nassibu Ramadhani kushoto
akionshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Miyeyusho wakati wa
mpambano wao wa raundi nane uliofanyika katika uwanja wa ndani wa taifa
siku ya jumapili ya psaka mpambano uho ulisha kwa maamuzi ya droo Picha
na SUPER D BOXING NEWS Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akioneshana
umwamba wa kutupiana makonde na Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano
waouliofanyika uwanja wea ndani wa taifa Dar es salaam mpambano uho
ulishaa kwa Droo Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia Pus Kazaula kushoto

NEWS Bondia Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto
mpinzani wake Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya
pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho
walitoka droo Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu MASHABIKI
wapata burudani mashabiki waliofika uwanja wa ndani wa taifa kulikokuwa
kunafanyika mchezo wa masumbwi wametoka na furaha tele baada ya kushudia
mapambano waliyokuwa wakiyasubili kwa hamu kubwa hapa nchini
akizungumza baada ya kumalizika mpambano uho mratibu wa mapambano hayo
Rajabu Mhamili 'Super D' amesema mashabiki wamefuraia mapambano ambayo
karibia yote yalimalizika kwa droo akitaja matokeo ya mapambano hayo
amesema bondia Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' alimsambaratisha bondia Mada
Maugo kwa T.K.O ya raundi ya tatu wakati Mohamedi Matumla na Cosmas
Cheka waritoka droo wakati Pius Kazaula alitoa Droo na Seba Temba
mpambano mwingine mkali uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa
ngumi nchini kati ya bondia Nassibu Ramadhani na Fransci Miyeyusho nawo
pia umemalizika kwa sale wakati uhu uhu mabondia Mfaume Mfaume na
Ramadhani Shauri wanatarajia kusaini mkataba wa kuzipiga siku y mei mosi
katika uw
Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

No comments:
Post a Comment