Juma Nature Amuonya KR Kuhusu Kubwia ‘Unga’
Juma Nature ambaye aliwahi kufanya muziki ndani ya kundi la Wanaume Family pamoja na KR Muller ameamua kumpa onyo KR asije akashawishiwa na swahiba wake TID kuanza kutumia madawa ya kulevya yaani “Unga”. kutokana na stori zilizozagaa mjini kumjumuisha TID kwenye orodha ya wasanii wanaotumia madawa ya kulevya.
Zaidi Juma Nature alikataa kukubali kuwa KR ni Raisi wa Radar Entertainment kwa kuiambia eNewz kuwa “Hata huyo TID mwenyewe sio Rais, sasa KR ni Rais wa wapi? Rais ni Magufuli tu”. Alisema Msitu wa Vina Juma Nature.
Eatv.tv writer r d
No comments:
Post a Comment