Friday, April 8, 2016

Imefahamika kuwa ule msako wa Wauza unga sasa umenoga hadi kufikia kuchunguzwa kwa mastaa mbali mbali wa bongo hasa wale wanaosafiri mara kwa mara nchi za nje.
..Habari zinasema uchunguzi huo sasa unamgusa mpaka mpenzi wa Diamond Platnumz ajulikanaye kama Zari Hassan ambae Safari za Bongo kwenda South Afrika na kurudi hazimuishi

No comments:

Post a Comment