VOA60 Afrika: Vikosi vya upinzani Sudan kusini vya wasili Juba kuunda serikali ya mpito
Vikosi vya upinzani Sudan kusini vya wasili Juba kuunda serikali ya
mpito; Na, Chad inajiandaa kwa uchaguzi wa rais Jumapili, pale rais
Idris Deby akitafuta kuongeza mda wa uwongozi wake wa miaka 26.
No comments:
Post a Comment