Monday, March 28, 2016

Ninazo picha 15 za Mwanza kilivyo happen kwenye Instagram Party….

on
Usiku wa tarehe 27, ulipambwa na Show ya Instagram Party kwa upande wa Mwanza 88.1, mastaa kadhaa wa Tanzania walikuwepo kunogesha Party kutoka Bongo movie Wema Sepetu, alikuwepo na kundi la Weusi liliwakilishwa na Joh Makini pamoja G nako.Party imefanyika Rock City Shopping mall Mwanza.
Image00007
Wema Sepetu na watu wake kwenye pozi
Image00006
Image00017
Joh Makini na watu wake
Image00013
Dj d Ommy kwenye mashine
Image00001
Joh makini na Gnako kwenye Stage na watu wao
Image00014
Image00015
Warembo wakapita kwenye Red Capert
Image00011
Mashabiki kwenye Burudani ya nguvu
Image00012
Image00001
Kushoto ni Lemutus, Pattiman, Madam Wema na Munalove.
Image00003
Image00002
Dj d Ommy kwenye mzuka wa kutoa Burudani
Image00016
Image00005
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa

No comments:

Post a Comment