Klaas-Jan Huntelaar amvnja pua kipa wa Uholanzi Jasper Cillessen (Video)
Mshambuliaji wa Uholanzi Klaas-Jan Huntelaar amevunja pua ya kipa wa Uholanzi Jasper Cillessen wkati wakiwa mazoezini.
Hali hiyo ilikuja wakati Huntelaar akiwa anaambaa na mpira kwenda kufuga na wakat kipa Cillessen alipojaribu kutaka kuunyakua mpira ndipo alipokutana na mguu wa Huntelaar uliogonga pua yake na papo kuvunjika.
Cillessen
alionekana kuwa na maumivu makali hatua iliyopelekea kuuacha mpira
chini. Baada ya tukio hilo Huntelaar alisema alitokwa na damu nyingi
sana.
Cillessen ataukosa mchezo wa kirafiki dhidi ya England utakaopigwa kesho usiku.
No comments:
Post a Comment