Nakukutanisha na picha 16 za Zero Effect namna kilivyohapen Mtwara..
Dj Zero kutoka XXL ya Clouds Fm wikiendi iliyopita kwenye mkesha wa Pasaka March 16 aliwakutanisha wakali kadhaa wa Bongo Fleva kwenye stage ya Makonde Beach Mtwara kwenye show aliyoipa jina la Zero Effect ambayo wakali kadhaa walikuwepo kama Chege,Madee,Tunda man,Mo Music na Stamina.
Wimbo Sweety Sweety wa Chege kwa mara ya kwanza toka autoe aliumba kwenye stage hii,Baada ya show ya Mtwara Dj Zero amesema Music tour yake ya Zero Effect itaendelea kwa mikoa mingine kama Dodoma,Tanga na Mwanza.
No comments:
Post a Comment