Sunday, June 7, 2015

Alikiba anatarajia kuwapa mashabiki wake zawadi waliyoisubiri kwa muda mrefu – video.
Muimbaji huyo ameshoot video nchini Afrika Kusini na muongozaji Meji Alabi.

Kupitia ukurasa wa Facebook, Alikiba amepost na utengenezaji wa video hiyo na kuandika:

  •  Music video shoot in South Africa at 3 degrees celsius… We keep rolling!
Muongozaji Meji Alabi akiwa kazini Hivi karibuni mashabiki wa Alikiba walilalamika kuchelewa kwenye video ya Chekecha na kudai kuwa anawaangusha
Alikiba akiwa na Meji Alabi

No comments:

Post a Comment