Sunday, June 7, 2015

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Shilole ameandika mkwara huo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram mara baada ya kuweka picha hizo mbili  hapo juu za mchumba wake Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni alidaiwa kumpa mimba masichana anaefahamika kwa jina la hata hivyo mziwanda alikanisha taarifa hizo.


  • Kutoka pic ya kwanza mpaka ya pili sio kaz ndogo aiseee haraf nashangaaa videm from no where vinaanza shobo mamaeeeee zenu kama mnatumwa kufitinisha mapenz yetu mmefeli mimi ndo ashangedere na mim ndo shishi mtoto wa Tabora nimezoea kula ugali sio wa chipsi mayai sasa mtu ajifanye anshobo na baby wangu aje nimuoneshe jinsi majengo ya serikali yanavyogawanywa watu! nampenda mpenz wangu ndo maana namsapot"-Shishi alimaliza


Nadhani Shilole umeeleweka.
Udaku Special Blog

No comments:

Post a Comment