HUKUMU: Mahakama Kuu Yapiga Marufuku Watu Kukusanyika Baada Ya Mita 200
Mpekuzi blog
Mahakama Kuu Dar leo imetupilia mbali shauri la tafsiri ya sheria ya
mpigakura kukaa au kutokaa umbali wa mitaa 200 kutoka eneo la kupiga
kura.
Kwa mujibu wa majaji waliotoa maamuzi hayo wamesema kuwa, kwa kuwa
mikutano ilishakatazwa kuwepo siku ya uchaguzi, hivyo hakuna mkutano,
mkusanyiko au vikundi vyovyote vitakavyoruhisiwa siku hiyo na kufanya
hivyo ni kuvunja sheria.
Pia wameeleza kuwa siku ya uchaguzi mtu yeyote atakayevaa sare ya chama chochote naye atakuwa amevunja sheria.
No comments:
Post a Comment