Hivi ndivyo Diamond Platnumz alivyotoa shukrani zake kwa support ya Watanzania MTV MAMA 2015… (Pichaz)
Ilikuwa furaha kumwona Diamond Platnumz akiwasili
TZ kutokea South Africa akiwa na Tuzo ya MTV MAMA 2015 mkononi, ushindi
huo sio kitu kidogo kwa sababu ni wasanii wachache sana waliopata
bahati ya kuibuka na ushindi huo !!
Leo amepata nafasi ya kuongea na
Watanzania na kutoa shukrani zake kwa support ya nguvu aliyopata mpaka
akafanikiwa kuibuka na ushindi huo… ninazo pichaz hapa wakati Diamond akitoa shukrani zake leo Julyu 22 2015 Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment