kigoma tunaamini sisi sote ni wazalendo wa ukweli basi pata habari zote hapa kwa blog yetu muhimu na pendwa kwa mkoa wa KIGOMA - TANZANIA ENTERTAINMENT News,Politics and other basi unguna na kijana mwenzako RASHID HAMZA MAARUFU KWA JINA LA RD PRO DOGO 'R' SIMU NAMBA 0752987701 PAMOJA TUNAJENGA NCHI YETU NA TUTASHINDA
Thursday, July 16, 2015
Mhindi Aliyekamatwa na Milioni 700 Dodoma Arudishiwa Fedha zake
Jeshi la polisi mkoani Dodoma limekanusha taarifa zilizozagaa kuhusiana na Raia wa Asia kukamtwa na fedha zaidi ya sh. m.700 kwa madai ya kuwahonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM ili wamchague mmoja kati ya waliokuwa wanawania nafasi ya Urais
Kwa
mujibu wa taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na kamanda wa
polisi mkoani hapa, David Misime mtu huyo aliyejulikana kwa jina la Amit
Kevalramani aliyekamatwa juma lililopita kwenye hoteli ya St Gaspar
mjini hapa ni mganyabiashara wa mazao ya nafaka ni siyo mpambe wa
wanachama wa CCM waliokuwa wanawania Urais.
Misime
amesema mnamo siku ya Julai 11 mwaka huu majira ya saa 4 asubuhi kuna
baadhi ya wananchi walitoa taarifa kwa jeshi la polisi kwamba kuna mtu
mmoja mwenye asili ya Kiasia amekamatwa na wananchi akiwa na fedha
nyingi na kuna vurugu kubwa katika hotel ya St Gaspar.
“Baada
ya kupata taarifa hizo Jeshi la Polisi mkoani hapa lilifika eneo la
tukio ili kuona kama taarifa hizo ni za kweli, askari walithibitisha
kuwa ni kweli, walimkuta mtu mmoja mwenye asili ya Kiasia ambaye
alijulikana kwa jina la Amit Kevalramani (31), Mhindi, Mfanyabiashara,
Mkazi wa Dar es Salaam akiwa na fedha kiasi cha sh. 722 milion ambacho
alipohojiwa alisema kuwa Julai 10 mwaka huu alifika Dodoma kwa ajili ya
ununuzi wa mazao ya nafaka” amesema Misime na kuongeza;
“Alipofika Dodoma hiyo siku majira ya asubuhi alifikia katika Hoteli ya St. Gasper na kesho yake Julai 12 aliamua kurudisha fedha benki kutokana na kuona mkusanyiko wa watu wengi wasioeleweka na wenye viashiria vya vurugu.”
“Alipofika Dodoma hiyo siku majira ya asubuhi alifikia katika Hoteli ya St. Gasper na kesho yake Julai 12 aliamua kurudisha fedha benki kutokana na kuona mkusanyiko wa watu wengi wasioeleweka na wenye viashiria vya vurugu.”
Misime
alisema kuwa akiwa katika harakati ya kurejesha fedha hizo benki, ndipo
kundi la watu waliokuwa katika eneo la Hoteli hiyo ya St. Gaspar
walimtilia mashaka na kumzuia asiondoke na ndipo taarifa zilitolewa
polisi.
Alisema
mashaka ya watu hao yalitokana na vuguvugu za kisiasa na mchakato wa
uchaguzi kati ya makundi mbalimbali kuwa kuna watu wanahonga wajumbe.
Taarifa za aina hiyo ambazo hata Jeshi la Polisi lilikuwa limepokea bila
uthibitisho.
Alibainisha
kuwa uchunguzi uliofanywa na jeshi la polisi umebaini kuwa hakuna kosa
la jinai lililothibitika licha ya kukutwa na kiasi hicho cha fedha,
tuhuma za rushwa ambazo ndiyo zilikuwa msingi wa ukamataji wa mtu huyo
hazikuthibitika, kwa kuwa hakuna aliyeona akizigawa fedha hizo wala
hakuna aliyedai kushawishiwa au kugawiwa fedha hizo.
Aidha
imethibitika fedha hizo ni mali yake halali na kwa kuwa hakuna ushahidi
mwingine uliyo thibitisha vinginevyo amerejeshewa fedha zake.
Wakati
huo huo kamanda amesema kuwa mnamo Julai 10 mwaka huu majira ya saa
21:00 eneo la Railway Dodoma jeshi la polisi lilifanikiwa kuwakamata:-
1. HERERIMANA METHODE, MIAKA 21.
2. HATUNGIMANA ALEXIS, MIAKA 20.
3. NIYONGABO JUSTIN, MIAKA 20.
4. NTETURUYE ONESPHORE MIAKA 21.
5. BIKORIMANA LEVIS, MIAKA 21 wote ni Wakazi wa Mabanda Burundi kwa kosa la kuingia nchini na kuishi nchini bila kibali.
Watuhumiwa
hawa walikuwa wanasafiri na treni kuelekea Dar es Salaam na walipofika
Dodoma Askari wanaosindikiza treni waliwashtukia na walipowakamata na
kuwahoji walijieleza kuwa ni raia wa Burundi.
Tunaomba
ushirikiano wa wananchi pale wanapoona watu ambao siyo raia
wasiwakaribishe bali watoe taarifa kwa vyombo vya dola waweze kuhojiwa
kwani hata kama waliingia Nchini na kuhifadhiwa katika makambi yaliyopo
Nchini hawaruhusiwi kutoka kwenda mbali na kambi zao bila kuwa na kibali
maalum.
Wakenya kumpokea Obama wakiwa uchi ?
Kundi la Wakenya, limejiapiza kumkaribisha rais wa Marekani, Barack
Obama, nchini kwao wakiwa hawajavaa nguo ili kuonesha kuwa
hawajakubaliana na kitendo cha kuruhusu mapenzi ya jinsia moja.
Obama anatarajiwa kutembelea Kenya kwa mara ya kwanza tangu kuwa
rais na kutegemea kuwa na mkutano na wafanyabiashara kuanzia Julai 24-26
mwaka huu.
Kwa mujibu wa barua iliyosambazwa na kundi hilo la wakenya, imedai
kuwa watafanya maandamano ya amani jijini Nairobi, Julai 22 na 23 mwaka
huu kuanzia Uhuru kona.
Wamedai kuwa maandamano hayo yatafanywa na wanawake pia wanaume
takriban 5,000 wakiwa watupu bila nguo yoyote kupinga Umoja wa nchi za
Amerika kupitisha sheria ya mashoga kutambuliwa kisheria.
Wamesema lengo kuu la maandamano wakiwa uchi ni kumuonesha na
kuelewesha rais Obama, utofauti uliopo kati ya wanawake na wanaume.
Wiki iliyopita, Wakenya hao walienda katika mitaa kuandamana
wakimuonya rais Obama, kutothubutu kuzungumzia suala la haki za mashoga
kwenye ziara yake ya kutembelea nchi hiyo.
Mbunge Charles Njagagua, pia aliwataka wabunge kumfukuza Obama, nje ya Bunge mara moja akigusia haki za mashoga.
Naye Makamu wa rais nchini Kenya, William Ruto, hivi karibuni
alinukuliwa na vyombo vya habari akiwaambia wananchi wake kuwa wamesikia
kuwa Marekani wameruhusu uhusiano wa mashoga na mambo mengine yasiyo na
maadili na kuwataka viongozi wa dini kutetea nchi yao na kusimamia
imani ya nchi yao.
Wednesday, July 15, 2015
Atakayewataja Watu Walioteka Kituo na Kuua Polisi Atapewa zawadi ya Milioni 50
Jeshi la polisi nchini Tanzania limetangaza kutoa zawadi ya shilingi za kitanzania million 50 kwa mtu yeyote mwenye taarifa za uhakika na za haraka zitakazofanikisha kuwakamata wote waliovamia kituo cha polisi stakishari na kuua askari na raia waliokuwa katika kituo hicho usiku wa kuamkia jana.
Akitoa tarifa mbele ya wanahabari kamishna wa polisi kanda maalum ya
Dar es Salaam Suleimani Kova amesema kuwa kupitia dhana ya polisi ya
ulinzi shirikishi mkuu wa jeshi la polisi IGP Ernest Mangu ameona ni
muhimu kuwashirikisha wananchi kikamilifu katika suala hili
linalohusiana na ulinzi na usalama wao na watanzania wote kwa ujumla.
Jeshi hilo limesema kwamba Mtu yeyote atakaye atakayefanikisha
kukamatwa ikiwemo kutoa taarifa sahihi kwa viongozi wakuu wa jeshi la
polisi atajipatia zawadi hiyo bila hiyana.
Namba za kupiga kama unazo taarifa sahihi ni hizi zifuatazo;
KAMISHNA WA POLISI KANDA MAALUM (CPS.H KOVA) —–0754034224
MSEMAJI WA JUESHI LA POLISI (SSP ADVERA BULIMBA)—–0713631667
MKURUGENZI WA MAKOSA YA JINAI (CP DIWANI ATHMAN)—-0715323444
Aidha wananchi wenye taarifa husika pia wanaweza kuonana uso nkwa uso
na viongozi wakuu wa makao makuu ya polisi au kanda maalum na kuwapa
taarifa moja kwa moja
Jeshi hilo limesisitiza kuwa mwananchi ambaye ataleta taarifa
husika na kufanikisha zoezi hilo itakuwa siri kubwa na hatajulikana
popote kama yeye ndiye mtoa taarifa husika.
Tuesday, July 14, 2015
RIHANNA AONYESHA KITUKO
Posted by GLOBAL on July 14, 2015 at 11:00am
0 Comments
0 Likes
New York, Marekani
MWANADADA mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna, 27,juzikati alitokelezea akiwa amevaa shati kubwa na kuonekana kituko kwa watu wengi.
Mbaya zaidi, demu huyo asiyeishiwa na vituko, alikuwa amefungua
vishikizo karibu vyote vya shati hilo huku akiwa hajavaa blazia, hatua
ambayo ilisababisha sehemu ya matiti yake kuonekana.
Kingine ni kwamba nguo hiyo ni ya kiume lakini kumbe alikuwa akionyesha mtindo mpya wa…
New York, Marekani
MWANADADA mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna, 27,juzikati alitokelezea akiwa amevaa shati kubwa na kuonekana kituko kwa watu wengi.
Mbaya
zaidi, demu huyo asiyeishiwa na vituko, alikuwa amefungua vishikizo
karibu vyote vya shati hilo huku akiwa hajavaa blazia, hatua ambayo
ilisababisha sehemu ya matiti yake kuonekana.
Kingine ni kwamba nguo hiyo ni ya kiume lakini kumbe alikuwa akionyesha mtindo mpya wa mavazi.
MWANADADA mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna, 27,juzikati alitokelezea akiwa amevaa shati kubwa na kuonekana kituko kwa watu wengi.
Kingine ni kwamba nguo hiyo ni ya kiume lakini kumbe alikuwa akionyesha mtindo mpya wa…
New York, Marekani
MWANADADA mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna, 27,juzikati alitokelezea akiwa amevaa shati kubwa na kuonekana kituko kwa watu wengi.
Kingine ni kwamba nguo hiyo ni ya kiume lakini kumbe alikuwa akionyesha mtindo mpya wa mavazi.
TAMASHA LA NCHI ZA JAHAZI 2015 KUFANYIKA NGOME KONGWE ZANZIBAR KUANZIA JULAI 18 HADI 26
Posted by GLOBAL on July 14, 2015 at 9:50am
0 Comments
0 Likes
Mjumbe wa bodi wa Tamasha la
Jahazi, Fatma Allo (kulia), akizungumza katika mkutano na wadau wa
filamu na wanahabari Dar es Salaam leo jioni kuhusu tamasha la nchi za
jahazi litakalofanyika kuanzia Julai 18 hadi 26 mwaka huu Ngome Kongwe
mjini Zanzibar.Kutoka kushoto ni Meneja wa Tamasha, Daniel Nyalusy na
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin Mhando.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha
la Jahazi, Martin Mhando (kushoto), akizungumza kuhusu tamasha hilo
kubwa la jahazi. Kulia ni Mjumbe wa bodi wa Tamasha la Jahazi, Fatma
Allo.…
VIDEO MPYA: DIGNA FT MAROMBOSO – KIDODOSA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Posted by GLOBAL on July 14, 2015 at 9:47am
0 Comments
0 Likes
MSHINDO WA HIP HOP-TAARAB DAR LIVE IDD MOSI
Posted by GLOBAL on July 6, 2015 at 10:00am
0 Comments
0 Likes
TMT YAZIDI KUNOGA, WAWILI TENA WATOLEWA!
Posted by GLOBAL on July 13, 2015 at 6:00pm
0 Comments
0 Likes
Baadhi ya washiriki wa shindano la kuibua vipaji vya kuigiza la TMT wakiwa kwenye jua la utosi.
Majaji wa TMT kutoka kushoto ni Richie, Monalisa pamoja na Roy.
Washiriki waliotoka…
Subscribe to:
Posts (Atom)
























