News Alert: Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar
Aliyekuwa
mgombea Mwenza wa CHADEMA/UKAWA, Amerejea Cuf hii leo. Haji alikuwa
mgombea Mwenza wa Edward Lowassa katika Uchaguzi wa 2015 wakipeperusha
Bendera ya CHADEMA
No comments:
Post a Comment