Kamatakamata ya machangudoa ilikua ni nguvu ya soda?
Wanajamii habari zenyu? Hivi zoezi la kuondoa machangudoa na kakapoa barabarani lilikuwa nguvu ya soda?
Mbona huku barabarani ambako wanasimama hawa dadapoa bado ni usumbufu tuu.
Serikali (Mh. Makonda) wakianzisha zoezi lolote lenye tija kwa jamii tunaomba liwe endelevu.
Imefika hatua mpaka dadapoa wanakebehi kuwa viongozi wooote wa mkoa
walishindwa kuwaondoa leo iweje Mh. Makonda aweze? Hii ni aibu.
Hebu onyesheni mnaweza jamani kunusuru raia kuambukizwa magonjwa ya ngono ukiwemo Ukimwi.
No comments:
Post a Comment