Ahadi ya Rais Magufuli Kuonyesha Salary Slip ya Mshahara Wake Akitoka Likizo yakumbushiwa….
Mdau mmoja wa ACT Wazalendo kutoka Kibaha ajulikanae kama
Habib Mchange ameandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Facebook kuhusu
ahadi ya Rais Magufuli kuonyesha Salary Slip ya Msahara wake:”Hivi Rais
‪#‎MAGUFULI‬ bado yupo likizo au amesharudi kazini
Magogoni?.Mbona alituahidi kutuonyesha ‪#‎SALARY‬-‪#‎SLIP‬
yake anayolipwa 9.5ml. Kila mwezi kama mshahara na Mpaka leo
Kimya?.#Magufuli Baba ahadi ni deni. Tuwekee wazi kale ka salary Slip
kako ili tuone unavyoyaishi maneno yako.Yawezekana umesahau na
wanaokuzunguka wanaogopa kukukumbusha wanahofu utawatumbua.Kwetu sisi
‪#‎ACtWAZALENDO‬ ni Kusema ukweli tu bila kumung’unya
Maneno.‪#‎AuNaloJipu‬?” By Habib
No comments:
Post a Comment