Wizara ya afya yalifanyia ukarabati tanuri la kuchomea takataka za Hospitali Chakechake
WIZARA ya Afya Pemba, imeanza kazi ya ukarabati wa
Tanuri maalumu la kuchomea takataka zinazotoka katika Hospitali ya Chake Chake,
kilio ambacho Makamo wa Pili wa Rais Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, kilimsikitisha
sana kutokuwepo kwa tanuri hilo wakati alipotembelea kisiwani Pemba Mwanzoni
mwa mwezi huu.
No comments:
Post a Comment