Mh. Mhandisi Hamad Masauni awasili Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi
0
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(kulia), akisalimiana na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma, Aziz
Mutabuzi, mara baada ya kuwasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(katikati),akiongozana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, RPC
Ferdinand Mtui (kulia) na Kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kigoma, Dismas
Mosha (kushoto).Naibu Waziri amewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya
kikazi.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,
akiweka saini kwenye kitabu cha wageni, mara baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Ndege Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.Katikati ni Mratibu wa
Wakimbizi Mkoa wa Kigoma, Tonny Samuel Laizer na kulia ni Kaimu Afisa
Uhamiaji Mkoa wa Kigoma,Dismas Mosha.
Mkuu
wa Wilaya ya Kigoma, Saveli Maketta (kushoto), akisalimiana na Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni.Naibu
Waziri amewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.(Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi).
No comments:
Post a Comment