Babu Tale: Niko Tayari Kumsaidia Msanii yeyote Anayetaka Kuacha Madawa ya Kulevya
Meneja
wa Diamond Babu Tale katamka kuwa yuko Tayari kumsaidia msanii yeyote
yule ambaye yuko tayari kuacha madawa ya kulevya, kasema milango iko
wazi kama ambavyo kamsaidia Chid Benzi ambaye kapelekwa sober House
Bagamoyo.
Pamoja
na hayo kadai haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi maana pamoja na
kumpeleka sober bado alikua "akistua" njiani, njia nzima alikua akivuta
hii midude.
Mungu ambariki sana huyu jamaa
No comments:
Post a Comment