Mvua kubwa katika Jiji la
Mwanza na vitongoji vyake imewalazimu kusimamisha shughuli zao kwa Mvua
iliyoanza kunyesha saa 11 Alfajiri hadi saa moja asubuhi na kuendelea
kunyesha 4 ya asubuhi na hadi sasa saa tisa Alaasri yaendelea kunyesha
na kusababisha magari yanayo towa huduma katika Jiji hilo kusimama
kutokana na mvua hizo na kusababisha shughuli za wafanya biashara
ndogondogo wanao jiingizia kipato kushindwa kufanya biashara kwa
maeneo kujaa maji na mifereji kujaa maji, hadi sasa nikiandika taarifa
hii sijapata taarifa yoyote inayohusu maafa au uharibifu wa mali,
nitaendelea kuwaletea taarifa hii kupitia ujijirahaa blog, (NA RIPOTA
WETU MWANZA UJIJIRAHAA)
No comments:
Post a Comment