CCM JIMBO LA MFENESINI ZANZIBAR YAFUNGA KAMPENI ZA 2015
Mgeni Rasmi Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Magharib Yussuf Mohd Yussuf akiwaonyesha Wananchi wa Shehiya ya
Bumbwisudi mfano wa karatasi ya kupigia Kura kwa wagomebea Ubunge katika
Mkutano uliofanyika Uwanja wa Bumbwisudi kwagoa Jimbo la Mfenesini.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Magharib Yussuf Mohd Yussuf akimnadi mgombea Uwakilishi Jimbo la
Mfenesini Machano Othman Said katika Mkutano uliofanyika Uwanja wa
Bumbwisudi kwagoa.
Mgombea Uwakilishi CCM Jimbo la
Mfenesini Machano Othman Said akizungumza na Wananchi wa Shehiya ya
Bubwisudi na kuwaomba kura katika Mkutano uliofanyika Uwanja wa
Bumbwisudi kwagoa.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Magharib Yussuf Mohd Yussuf akimnadi mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la
Mfenesini Kanal mstaafu Masoud Ali Khamis katika Mkutano uliofanyika
Uwanja wa Bumbwisudi kwagoa.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM
Jimbo la Mfenesini Kanal mstaafu Masoud Ali Khamis akizungumza na
Wananchi wa Shehiya ya Bumbwisudi na kuwaomba kura katika Mkutano
uliofanyika Uwanja wa bumbwisudi kwagoa.
Aliyekuwa Mgombea Udiwani Wadi ya
Bumbwisud kupitia ADC Makoe Makolea Mashimba akirudisha Kadi na kujiunga
na CCM katika Mkutano wa kufunga Kampeni 2015 Uwanja wa Bumbwisud Jimbo
la Mfenesini.
(PICHA NA ABDALLA OMAR-MAELEZO ZANZIBAR).
No comments:
Post a Comment