MKAPA: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa....Chama cha Ukombozi ni CCM Tu
Mpekuzi blog
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu mh. Benjamini William Mkapa amesema kuwa wapinzani wanaodai vyama vyao ni vya ukombozi ni Wapumbavu na malofa kwa kuwa watanzania walikwisha kombolewa na chama cha ASP na TANU na kwamba chama pekee cha ukombozi kilichobaki hivi sasa ni CCM pekee.
Mkapa ametoa kauli hiyo leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wakati akimnadi mgombea urais wa CCM, Mh John Pombe Magufuli.
Kumsikiliza Mkapa akiongea, Tazama video hapo chini.
ANGALIZO: Matusi Hayakubaliki. Toa Mchango Wako Kistaarabu ili pamoja tujenge nchi yetu.
No comments:
Post a Comment