Hizi Hapa Sababu Halisi za Ukawa Kutokufungua Kampeni Kama ilivyotarajiwa
Panaposemwa uongo na kuachwa kuukanusha basi waweza kuaminiwa.
Zimesikika taarifa kwenye mitandao kuwa kutokufungua kampeni leo au
kesho ni kutokana na afya ya lowassa kudhoofu.
Sababu ambazo zimefanya Ukawa kutozindua kampeni kama ilivyotarajiwa leo ni kama zifuatavyo:-
1.Maandalizi ya kuandaa kikosi cha kumnadi mgombea yanamalizwa leo
2. Kumaliza mgogoro wa majimbo yaliobaki kutokana na sintofahamu iliyotokea
3. Kuuzima upepo wa magufuli utakaovuma kesho
4. Kuandaa hoja nzito zakujibu baada ya matarumbeta ya ccm yatakayoropoka kesho
5. Kutafuta uwanja wa kampeni utakaokidhi haja
6. Viongozi wa chama wamikoani na wabunge bado hawajawasili Dar kutokana na urudishaji wa fomu za ubunge jana.
chanzo: mwandishi wa habari aliyewasiliana na JJ mnyika muda huu.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:
Post a Comment