Picha 12 za Diamond kwenye stage na Wanigeria!
Show ya road to mama inayoandaliwa na
kituo cha runinga maarufu kama MTV Base kama sehemu ya kusheherekea
tuzo za MTV Base mwaka imefanyika Nigeria kwenye hoteli ya Federal
Palace.
Miongoni mwa wasanii waliotumbuiza usiku
wa kuamkia leo ni Phyno, Diamond Platnumz, Patoranking na Yemi Alade,
Iyanya, Olamide.Hizi ni picha za kutoka kwenye show hiyo.
No comments:
Post a Comment