DAVIDO Adai Tanzania ni Nyumbani Kwake Baada ya Nigeria...Ataja Msanii Mwingine wa Tanzania Anayefanya Nae Collabo Kwa Sasa...
Davido ni msanii wa Nigeria ambaye jina lake lilizidi kutajwa sana Tanzania baada ya kufanya kolabo ya ‘number one rmx’ na Diamond Platnumz.Sasa July 18 2015 kwenye Exclusive interview na AyoTV Durban South Africa Davido kamtaja msanii mwingine wa Tanzania anaefanya nae kolabo hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment