Friday, July 10, 2015

Breaking News: Hatimaye 5 Bora ya CCM Imejulikana....Lowassa Kaenguliwa


Kikao cha Kamati Kuu ya chama cha mapinduzi (CC) kimemalizika hivi punde(saa saba usiku)  mjini Dodoma.

Tovuti ya CCM imeyatangaza majina matano yaliyopitishwa na Kamati ya CCM (CC) kuwa ni ;
 
1) Bernard Membe
2) John Magufuli
3) Asha Rose Migiro
4) January Makamba
5) Amina S. Ali

No comments:

Post a Comment