Wednesday, July 22, 2015

Mkali wa “Knocking on my door” D’Banj amefunguka kuwa anamtafuta Diamond kwa muda mrefu afanye nae Collabo lakini Diamond amekua akimzungusha, Dbanj amemfananisha  Diamond na Justin Bieber au Lil wayne kutoka na Mashabiki alionao.

D’banj amefunguka hayo alipokua akiongea na kipindi cha XXL cha Clouds fm, Mskilize hapo juu

No comments:

Post a Comment