Video ya Mwigizaji Lulu Michael Akicheza Wimbo wa Diamond yazua Gumzo Mitandaoni..Lulu Adai Diamond Ampe Kazi
Video ya muigizaji maarufu nchini, Elizabeth michael , aka lulu, imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ambapo msanii huyo aliipost kwenye ukurusa wake wa instagram.
Video hiyo inamuonyesha
msanii huyo akicheza wimbo wa mwanamuziki maarufu nchini, diamond
platnums, unaojulikana kama nana /sankoro
Mwangalie hapo chini anavyokata kiuno usafishe macho.
No comments:
Post a Comment