Hapa ni Ali Kiba na watu wake wa nguvu walivyokutana ndani ya daladala mtu wangu !! (Pichaz)
Staa wa Muziki TZ ambae usiku wa June
13 2015 aliingia kwenye headlines kubwa baada ya kuibuka na ushindi wa
jumla ya Tuzo SITA kuonesha jinsi ambavyo watu wake mtaani wamemkubali
kwenye ujio wake mwingine baada ya kimya cha muda mrefu.
Ali Kiba ni mshindi pia wa Tuzo za Watu 2015
kwenye nafasi ya msanii wa kiume anayependwa.. YES, niko nae leo tena..
kaingia zake mtaani na akaona njia poa ya kukutana na watu wake ni
kuingia katika daladala na kupiga story na kila shabiki wake wa nguvu
aliyekutana nae humo.
Safari ilianzia mitaa ya Kariakoo
katikati ya Dar es Salaam.. alafu ikaenda mpaka Tandika, Temeke na
mwisho kabisa ikawa maeneo ya Ilala.
Na wewe unatamani kuwa karibu na staa huyu? Ishu iko hivi, Ali Kiba amesema kesho anaendelea tena, yeye na watu wake ndani ya daladala kituo kwa kituo, kwa hiyo kama wewe ni mtumiaji wa usafiri huu pia katikati ya Jiji basi huenda kesho ikawa siku yako pia mtu wa nguvu!!
No comments:
Post a Comment