Kama Umeguswa na Hili, Wasiliana na Natasha
Kutangaza hapa piga : 0712 500 445
Niko na mashoga zangu Jangwani Sekondari.kuna wanafunzi
zaidi ya 70 wenye ulemavu na wana tatizo la miundo mbinu hasa linapokuja
suala la choo na njia ya kwenda maktaba.ndugu zangu wa SVF wamejutolea
kujenga choo na hiyo njia.kama nawe unaguswa tuwasiliane ili kwa pamoja
tuwarahisishie maisha warembo wetu hawa.Wote wana ndoto zao.baadhi wanataka kuwa waigizaji.hebu kuwa mmoja wao wa kutimiza ndoto zao.
Na: Natasha on Instagram
No comments:
Post a Comment