kigoma tunaamini sisi sote ni wazalendo wa ukweli basi pata habari zote hapa kwa blog yetu muhimu na pendwa kwa mkoa wa KIGOMA - TANZANIA ENTERTAINMENT News,Politics and other basi unguna na kijana mwenzako RASHID HAMZA MAARUFU KWA JINA LA RD PRO DOGO 'R' SIMU NAMBA 0752987701 PAMOJA TUNAJENGA NCHI YETU NA TUTASHINDA
Friday, June 12, 2015
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 stori iko hapa
Good news ninayotaka kukusogezea ni
kwamba majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV Africa Music Awards
2015 yametangazwa jana June 11, ambapo Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ni miongoni mwa wasanii waliotajwa kuwania tuzo hizo zitakazotolewa jijini Durban Afrika Kusini.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitatu ambavyo ni BEST MALE, BEST LIVE ACT, BEST COLLABORATION huku Vanessa Mdee akiwania kipengele cha BEST FEMALE.
Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi July 18,
jijini Durban Afrika Kusini.Hapa nimekuwekea orodha kamili ya wasanii
watakaowania tuzo hizo za MTV Africa Music Awards 2015.
BEST MALEDiamond Platnumz (Tanzania)
Wizkid (Nigeria)
Davido (Nigeria)
AKA (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
BEST FEMALE
Vanessa Mdee (Tanzania)
Busiswa (South Africa)
Yemi Alade (Nigeria)
Seyi Shay (Nigeria)
Bucie (South Africa)
BEST GROUP
B4 (Angola)
Beatenberg (South Africa)
Black Motion (South Africa)
P- Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)
BEST NEW ACT TRANSFORMED BY ABSOLUT
Patoranking (Nigeria)
Stonebwoy (Ghana)
Cassper Nyovest (South Africa)
Duncan (South Africa)
Anna Joyce (Angola)
BEST LIVE ACT
Micasa
Big Nuz
Diamond Platnumz (Tanzania)
Flavour
Toofan
BEST COLLABORATION
Diamond ft Iyanya- Bum Bum ( Tanzania/Nigeria)
Toofan ft Dj Arafat – Apero Remix (Togo/Ivory Coast)
AKA ft Burna Boy, Da L.E.S – All Eyes on me (S.A/Nigeria)
Davido ft Uhuru, Dj Buckz -The Sound ( Nigeria/South Africa)
BEST HIP HOP
Youssoupha (DRC)
AKA (South Africa)
K.O (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Phyno (Nigeria)
Cassper Nyvost (South Africa)
BEST ALTERNATIVE /POP
Jimmy Nevis
Fuse ODG
Prime Circle
Jeremy Loops
Nneka
BEST FRANCOPHONE
Dj Araphat ( Ivory Coast)
Jovi (Cameroon)
Toofan (Togo)
Tour 2 Garde (Ivory Coast)
Laurette Le Pearle (DRC)
BEST LUSOPHONE
Ary (Angola
Nelson Freitas (Cape Verde)
B4 (Angola)
NGA (Angola)
Yuri Da Cunha (Angola)
BEST SONG
Cassper Nyovest – “Doc Shebeleza”
DJ Fisherman & Naak MusiQ ft. Dream Team, DJ SK, Danger & DJ Tira – “Call Out”
Euphonik ft. Bob Ezy & Mpumi – “Busa”
K.O ft. Kid X – “Caracara”
Lil Kesh ft. Davido & Olamide – “Shoki Remix”
Mavins – “Dorobucci”
Sauti Sol – “Sura Yako”
Toofan – “Gweta”
Wizkid – “Show You The Money”
Yemi Alade – “Johnny”
VIDEO OF THE YEAR
Bebe Cool – Love You Everyday
Davido Ft Uhuru & DJ Buckz – The Sound
Prime Circle – Doors
Riky Rick – Nafukwa
Seyi Shay Ft Wizkid – Crazy
PERSONALITY OF THE YEAR
Basketmouth (Nigeria)
Bonang Matheba (South Africa)
OC Ukeje (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Yaya Toure (Ivory Coast)
Ungependa kujua namna wachezaji na makocha walivyong’ara kwenye tuzo za ligi kuu bara – ingia hapa
Baba mzazi wa mshambuliaji kutoka Yanga, Simoni Msuva akipokea tuzo ya mchezaji Bora kwa niaba ya Mwanae.
Usiku wa June 11, kulikuwa na utoaji wa
tuzo za wachezaji zilizokuwa chini ya udhamini wa ligi kuu ya Tanzania
Bara, kampuni ya simu mkononi ya Vodacom kwenye ukumbi wa Golden
Jubilee Towers Dar es Salaam.
Katika utoaji wa tuzo hizo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva ameng’ara kwenye tuzo hizo baada ya kutwaa tuzo mbili.
Msuva amebeba tuzo ya Mchezaji Bora wa
Msimu dhidi ya beki Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ wa Simba SC na Mrisho
Ngassa ambaye kwa sasa ni mchezaji wa timu mpya iliyopo Afrika Kusini.
Hii ni list ya walionia tuzo za ligi kuu ya Tanzania Bara akiwemo Kocha, Timu yenye nidhamu pamoja na Golikipa, Refarii.
Kocha bora – Mbwana Makata (prison)
Mchezaji bora – Simon Msuva (Yanga)
Team yenye nidhamu – Mtibwa
Golikipa bora – Shaaban Kado (Coastal Union)
Refarii bora – Israel Nkongo.
Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akizungumza machache kwenye utoaji wa tuzo hizo.
Subscribe to:
Posts (Atom)