Ungependa kujua namna wachezaji na makocha walivyong’ara kwenye tuzo za ligi kuu bara – ingia hapa
Usiku wa June 11, kulikuwa na utoaji wa
tuzo za wachezaji zilizokuwa chini ya udhamini wa ligi kuu ya Tanzania
Bara, kampuni ya simu mkononi ya Vodacom kwenye ukumbi wa Golden
Jubilee Towers Dar es Salaam.
Katika utoaji wa tuzo hizo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva ameng’ara kwenye tuzo hizo baada ya kutwaa tuzo mbili.
Msuva amebeba tuzo ya Mchezaji Bora wa
Msimu dhidi ya beki Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ wa Simba SC na Mrisho
Ngassa ambaye kwa sasa ni mchezaji wa timu mpya iliyopo Afrika Kusini.
Hii ni list ya walionia tuzo za ligi kuu ya Tanzania Bara akiwemo Kocha, Timu yenye nidhamu pamoja na Golikipa, Refarii.
Kocha bora – Mbwana Makata (prison)
Mchezaji bora – Simon Msuva (Yanga)
Team yenye nidhamu – Mtibwa
Golikipa bora – Shaaban Kado (Coastal Union)
Refarii bora – Israel Nkongo.
No comments:
Post a Comment