Diamond Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo za MAYA 2016 za Nchini Nigeria
Diamond Platnumz ambaye kutokana na kutajwa mara kwa mara kuwania tuzo
mbalimbali wanamuita ‘Mondi Bin Awards’, ametajwa kuwania MOREKLUE ALL
YOUTH AWARDS 2016 kwa kifupi MAYA Awards za nchini Nigeria, ikiwa ndio
nomination yake ya kwanza kwa mwaka huu 2016.
Kwenye kipengele cha African Music Act Diamond anawania pamoja na
wasanii wengine wenye majina makubwa Afrika akiwemo, Wizkid, Sarkodie,
Fuse ODG, Davido, AKA, Olamide na
Cassper Nyovest.
Tuzo za MAYA zitatolewa January 31, 2016 jijini Lagos, Nigeria.
Ili kuweza kumpigia kura Diamond aweze kushinda tuzo hii ingia HAPA.
No comments:
Post a Comment