Breaking News:Zitto Kabwe Atoa Kauli Nzito Kuhusu Bango la CCM Lililoleta Utata wa Kibaguzi Zanzibar
"Siasa za Hatari sana hizi, Siasa za kibaguzi. Siasa zinazopaswa
kulaaniwa na kila mpinga ubaguzi nchini. Nitashangaa sana kama wakubwa
CCM hamtaomba radhi kwa siasa hizi hizi mbaya kabisa. What will be the
stop?"
No comments:
Post a Comment