LOWASSA Inatosha, MBOWE, LIPUMBA, MBATIA Wamwita UKAWA, Yuko Mbioni Kuachana na CCM Wakati Wowote....
Wakati Joto la Mbio la Urais Tanzania Linaendelea , Wakuu wa Vyama vya Upinzani Wanao unda kundi la Ukawa Wamemwambia Lowassa Huko alipo sasa inatosha amedhihakiwa vya kutosha na Kwamba wanamkaribisha Ukawa kwa mikono miwili kama walivyofanya wengine wakiwemo Mh Limbeli na Mh Ester Bulaya pamoja na Wale Madiwani wa Monduli....Tetesi zinasema kuwa Muda wowote Lowassa anaweza Tangaza uamuzi wake wa Kujiunga na Upinzani ili apate nafasi ya kuwania Urais 2015.....
No comments:
Post a Comment