Mapokezi ya Steve Nyerere alivyotangaza kugombea Ubunge wa Kinondoni (Pichaz)
on
Kwenye list ya mastaa wa TZ waliotangaza kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi wa 2015 lipo pia jina la mastaa wa Bongo Movie, Steve Mengere aka Steve Nyerere.
Jamaa alikuwa anamaanisha kabisa kuhusu safari yake kwenye Siasa, hapa nina pichaz kutoka MICHUZI BLOG ambazo zimepigwa kwenye viwanja vya CCM Bwawani ambapo Steve alikuwa akitangaza nia hiyo.
“Mama
zangu, baba zangu, vijana wenzangu.. jitokezeni kujiandikisha ni haki
yenu ya msingi hasa katika Uchaguzi Mkuu ujao… Mimi Steve Nyerere
nimeamua kwa dhati kujitoa na kutangaza nia ya kuwania Ubunge wa
Kinondoni“– Steve Nyerere.
No comments:
Post a Comment