Lowassa Akodishiwa Ndege Maalum na Wafadhili wake, Yagharimu Mamilioni
Ndege hiyo 'private jet' ambayo Lowassa amepatiwa na wafadhili wake katika safari yake hii ya matumaini imetolewa mahususi kwa ajili ya kuhakikisha Lowassa anazunguka mikoa yote nchini bara na visiwani kabla ya julai 12 na 13 ili akamilishe zoezi la kuwapata wadhamini 435 nchi nzima ili kufanikisha sharti la chama kwa wagombea nafasi ya urais.
No comments:
Post a Comment