Ally Kiba: Kiukweli sisapoti hizi team, watu waache tusapoti vyakwetu
Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm Ally Kiba amesema:
"Unajua
sisi ni vioo vya jamii na tunapendwa na watu wengi sana, unapoona mambo
yanatokea kama hivyo huwezi kufanya chochote na mimi siwezi kuingilia
swala lolote la mashabiki"
Aliongeza "Lakini kiukweli sifurahishwi nalo na kama inawezekana wangeachana nalo, Tusapoti vya kwetu ili tuzidi kwenda mbele zaidi"
No comments:
Post a Comment