Friday, May 29, 2015

Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheik Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

Je wewe upo Team Gani?

No comments:

Post a Comment