Christian Bella: Hakuna Msanii Asiyependa Kufika Alipofika Diamond Platnumz
![]() |
Mwanamuziki Christian Bella |
“Muziki wetu bado una matatizo mengi ndo maana unaona kuna wakati unahitaji kufanya kitu lakini unashindwa. Hakuna msanii asiyependa kufika alipofika Diamond, kila mtu anataka, tatizo ni management,” amesema msanii huyo.
“Kila msanii huwezi kutumia pesa yako ya mfukoni kutengeneza video, hautaweza kufika popote. Management ndIo inaweza kukusimaMia kila kitu, lakini sisi hapa kila kitu anafanya msanii huyo huyo, hatuwezi.”
No comments:
Post a Comment