kigoma tunaamini sisi sote ni wazalendo wa ukweli basi pata habari zote hapa kwa blog yetu muhimu na pendwa kwa mkoa wa KIGOMA - TANZANIA ENTERTAINMENT News,Politics and other basi unguna na kijana mwenzako RASHID HAMZA MAARUFU KWA JINA LA RD PRO DOGO 'R' SIMU NAMBA 0752987701 PAMOJA TUNAJENGA NCHI YETU NA TUTASHINDA
Tuesday, July 21, 2015
DAVIDO Adai Tanzania ni Nyumbani Kwake Baada ya Nigeria...Ataja Msanii Mwingine wa Tanzania Anayefanya Nae Collabo Kwa Sasa...
Sasa July 18 2015 kwenye Exclusive interview na AyoTV Durban South Africa Davido kamtaja msanii mwingine wa Tanzania anaefanya nae kolabo hivi karibuni.
Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata
Mpekuzi blog
Mshindi huyo wa ‘Best Live Act’ kwenye MTV MAMA baada ya kurejea 
Tanzania,  amejibu shutuma alizozitoa Jojo dhidi yake kuhusu video 
aliyoipost, ya mrembo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wake akifurahia wimbo 
wa ‘Mdogo Mdogo’ na kuandika  “Mbona Bado, Mtanyooka Tu”. 
Kupitia 255 ya XXL ya Clouds Fm, haya ndio majibu ya Diamond kuhusu video aliyoipost na kile alichokiandika Jokate:
“unajua kwanza nimecheka afu nimeskitishwa kwasababu nimeambiwa, 
sijasoma nimeambiwa kuna post ameandika amezungumzia vitu vingi… Yeye 
kacheza kama fan wa nyimbo yangu, na mimi nimempost kama fan wangu, ile 
caption yangu sijamuandika jina kwanini achukulie vibaya? 
"Ukiona mtu 
anajishuku ukiona hivyo kuna namna nyuma. Mbona mi napost watu wengi tu,
 tena naandika caption zangu za vituko vituko manake mimi nina caption 
za vituko, mi ni mswahili nimezaliwa Tandale nimekulia Tandale na 
Tandale ndio kumenifanya leo niwe hapa nilipo…
"kwahiyo nina caption zangu
 za uswahili kwasababu uswahili ndio umenikuza…siziachi kuziandika mbona
 naziandikaga katika caption nyingi nyingi kwanini kwake yeye tu aione 
tatizo, kwani kuna ubaya gani mi kuandika mtanyooka tu kama yeye 
haimuhusu ina maana labda kuna kitu kinamuhusu.”
Diamond aliendelea:
“Nikaambiwa pia amezungumza kwamba ndio maana wanaogopa kusapoti 
wasanii watanzania kwasababu akisapoti  wanadhalilishwa, yeye mimi mpaka
 nimeenda kuchukua tuzo hii amenisapoti nini? 
"Alipost hata post moja 
kusema mpigie kura Diamond, afu leo anajishaua eti kanisapoti, kasapoti 
nini eti kutoa hongera mi nimeshinda tuzo, eti ooh hongera kwa tuzo by 
the way, angepost kuhamasisha watu wapige kura ili ushindi uje nyumbani,
 lakini kwa chuki alizojazwa zisizo na sababu na roho mbaya alowekwa na 
watu imemfanya ashindwe hata kunipost  na kutengeneza chuki za chini 
chini kwa kudhani wakiwapigia kura Wanigeria mi ntakosa tuzo…
"Mungu 
alivyolaani mi nimeshinda,  afu anajifanya anatoa hongera eti wanasapoti
 muziki wa kiTanzania, utanisapoti nini, lini umenisapoti, au baada ya 
kuona tuzo imekuja ndo unajifanya kutoa hongera, tuacheni unafiki.” Alimaliza diamond.
Subscribe to:
Comments (Atom)




































 

