Waziri
 wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili 
kulia) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka Airtel 
Tanzania Bi. Beatrice Singano (wa pili kushoto) wakati akiwasili katika 
Uwanja wa Karume kuhitimisha mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka
 17 ya Airtel Rising Star Septemba 11, 2016 kushoto ni Rais wa 
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi. 
Waziri
 wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili 
kulia) akijadiliana jambo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu 
Tanzania Bw. Jamali Malinzi wakati wa hitimisho la mashindano ya Vijana 
chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star  Septemba 11, 2016.
Mkurugenzi
 wa Airtel Tanzania Bw. Sunil Colaso akizungumza kuhusu maendeleo ya 
mashindano ya Airtel Rising Star wakati wa hitimisho la mashindano hayo 
ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 katika Uwanja wa Karume Jijini Dar 
es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri
 wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipita 
katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za 
kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 
2016.
Waziri
 wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza
 na wanamichezo, wadau wa michezo na wanahabari kabla ya kushuhudia 
fainali ya mashindano hayo yiliyohitimisha mashindano hayo kwa Vijana 
chini ya umri wa miaka 17  Airtel Rising Star katika Uwanja wa Karume 
Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016. 
Waziri
 wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikagua 
wachezaji wa timu ya Morogoro Boys kabla ya kuanza kwa fainali kati yao 
na timu ya Ilala iliyofanyika katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es 
Salaam Septemba 11, 2016. 
Waziri
 wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikabidhi 
kikombe kwa nahodha wa Timu ya wasichana ya Temeke walioibuka washindi 
wa mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star 
kwa upande wa wasichana katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam 
Septemba 11, 2016. 
Waziri
 wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikabidhi 
kikombe kwa nahodha wa Timu ya wavulana  ya Morogoro walioibuka washindi
 wa mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star
 kwa upande wa wavulana katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam 
Septemba 11, 2016.  
Timu
 ya wasichana ya Temeke wakishangilia ushindi wao wakishangilia ushindi 
wao walioupata katika mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya 
Airtel Rising Star kwa upande wa wasichana kwa kuwafunga Timu ya temeke 
kwa mikwaju ya penati katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam 
Septemba 11, 2016. 
Timu
 ya wavulana ya Morogoro wakishangilia ushindi wao wakishangilia ushindi
 wao walioupata katika mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya
 Airtel Rising Star kwa upande wa wavulana kwa kuwafunga Timu ya Ilala 
kwa goli moja kwa bila  katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam 
Septemba 11, 2016. 
Waziri
 wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa 
katika picha ya pamoja na Timu ya wavulana  ya Morogoro mara baada ya 
kumalizika kwa mshindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel 
Rising Star yaliyofanyika  katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam 
Septemba 11, 2016.
Waziri
 wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa 
katika picha ya pamoja na Timu ya wavulana ya Ilala mara baada ya 
kumalizika kwa mshindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel 
Rising Star yaliyofanyika  katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam 
Septemba 11, 2016.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM
 
Post a Comment